Recent content by juma mlugala

  1. juma mlugala

    Sony xperia m, mfano wa kuigwa kwa simu za bei ndogo

    Ndugu yangu chief mkwawa habali za kazi mimi nilikuwa naomba kusaidiwa namna ya kuapgred sim yangu aina ya sim ni Samsung galaxy NOT2
  2. juma mlugala

    Modem bora?

    Asante kaka nimekupata ngoja takapo nyumbani taicheki model halafu takutaalifu Lakini pia Samahani kidogo kwa usumbufu nilikuwa naomba msaada wako jinsi ya kuapgred Samsung galaxy NOT2 pia kwa yeyote yule mwana jf naomba msaada wake
  3. juma mlugala

    Modem bora?

    Na mimi naongezea hapo hivi je kuhusu ubora wamodem ya Dlink ubora na power yake uko je maana nimesikia watu wakizisifia tafadhari nawaombeni ushauli
  4. juma mlugala

    JamiiForums New version (5.0.25) App For iPhone and iPad users

    Mkuu za majukum nilikuwa naomba msaada wako jinsi ya kuanlock sim ili hata ikiibiwa niweze kuipata sim yangu ni Samsung NOTII naomba msaada kiongozi
  5. juma mlugala

    msaada kwa aliye na product key za window XP park 2 2002 anisaidie!

    Asante sana mkuu hiyo LTE ni mfumo wa vipi software au
  6. juma mlugala

    msaada kwa aliye na product key za window XP park 2 2002 anisaidie!

    Mkuu Samahani kwa usumbufu tena mkuu siyo you tube ni za online ndio maana nikasema kama vile taarifa ya habari ya moja kwa moja Samahani sana mkuu naomba msaada wako
  7. juma mlugala

    msaada kwa aliye na product key za window XP park 2 2002 anisaidie!

    Jamani wana jamii na mimi niwaombe msaada kwa yeyote anaye jua jinsi ya km download vidio iliyo kwenye online mfano taarifa ya habari naombeni msaada wenu wadau
  8. juma mlugala

    Ujio wa tecno ...android kwa wote

    Mkuu chif mkwawa heri yamwaka mimi nilikuwa naomba msaada kwako jinsi ya kujirejest na huduma ya Samsung application maana kila nikiingiza email yangu inaniambia incorrect Pasword na wakati password ninayotumia kwenye email ni ileile naomba msaada mkuu
  9. juma mlugala

    tunnel guru hiyooooooooo nayoooo inamfuata pd

    Mkuu heri ya mwaka sasa mimi nilikuwa naomba kusaidiwa nifanyeje kwa sababu nilikuwa nataka usajili kwenye hiyo programme ya tunnel guru nawewe unasema tena imekuwa mjanga Samahani Mkuu msaada
  10. juma mlugala

    Learn how to set multiple whatsapp account on single android handset

    Mkuu Samahani kwa usumbufu naomba msaada wa software ya kuweza km download vidio ya live mfano taarifa ya habari kwenye laptop
  11. juma mlugala

    Trick ya voda free net kwa Android phones

    Ndiyo ipo nyingine inaitwa Samsung application
  12. juma mlugala

    Trick ya voda free net kwa Android phones

    Mkuu mimi natatizwa najinsi kutumia application ya Samsung ap je nifanyeje naomba msaada
Back
Top Bottom