Siri Yafichuka Ndani Ya Equity Bank, Mmiliki Wa Gazeti La Jamvi La Habari Alipewa Tender Na Swahiba Wake Zenda
Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi, Daniel...
Bandari ya Mombasa imekumbwa na chnamogo kubwa ya msongamano wa meli kiasi cha watumiaji bandari hiyo kuwaandikia wateja wao na kuwapa tahadhari juu ya kuchelewa kupakuliwa kwa mizigo yao kwa zaidi ya siku kumi
Barua ya Januari 18, 2024 kwenda kwa watumiaji wa bandari hiyo inaeleza kuwepo kwa...
mdau uko vyema sana. kifupi tunapaswa tushangilie mafanikio huku tukichukua tahadhari na hatua za haaka kuhakikisha neema hii iliyotufikia haigeuki kuwa laana
Tungepata uchambuzi kama huu wakati wa DP wala tusingehamaki aisee. mnajifichaga wakati wa songombingo kukipoa ndio mnajitokeza na data za hivi. Mungu anawaona
Wapinzani ndio wameishiwa wajenga hoja na ndio mnafikia wakati mnacho angalia kwenye thread nzito nzito huwa mnachambua makosa ya kiuwandishi na sio kuchambua hoja.
Hapa Mimi napingana na wewe kwa jinsi navyo mjua sugu wa kipindi hiki Cha siasa za mbeya na sugu wa hippop nitofauti kabisa ,na utofauti hu umeanza tangu alivyokuwa karibu na lema,hapo ndio alipo Anza kumfundisha michezo ya drama na ndio hiyo anaendelea nayo. kwa mbeya sugu mapolisi wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.