Habari zenu jaman
M ni moja kat ya wanafunz Wa special diploma nilie ombea mkopo hapa chuon lakin cjapata kila nikichek naambiwa didn't secured kwamba ndo nmesha kosa tiari au bado lots zinaendelea kutoka
Msaada Tafadhali nifahamishen
Habari zenu wakubwa
Kuna baadhi ya wanufunz wa special diploma tulioomba mkopo hapa chuon lakin tukiangalia majina tunakuta hatujapewa mkopo kwamba ndo tumekosa au bado lots zinaendelea kutoka tufahamishen jaman watu tumechanganyikiwa
habari zenu wakubwa Nilikua naulza kwa walio chaguliwa special diploma ualim ivi inakuaje ukifika chuon af bado mkopo hujapata haiwezi kusumbua sana au kuchukua mda mrefu kupata mkopo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.