Recent content by juma dodoma

  1. J

    Peter Msigwa: Rais kuwaandikia barua Wakuu wa Mikoa kwenye majanga sio sahihi

    Anapenda tu sifa huyu msigwa amuandikie yeye ili nini? kuna wabunge ni wabinafsi sana kama akina msigwa
  2. J

    IGP: Tunawasaka watu wanaofurahia na kukebehi mitandaoni baada ya askari kuuawa

    Naunga mkono hoja ya IGP tumezidi ushabiki watu wanauwawa wewe unakebehi what if ni mzazi wako au ni wewe ungekufa watu waanze kukubehi, Hakuna binadamu aliyekamili lakini watanzania tumefika sehemu mbaya kushabikia tu na kuleta siasa kwenye mambo muhimu ya kitaifa.Askari ni muhimu sana kwa...
  3. J

    Frederick Sumaye: Magufuli anatekeleza sera za CHADEMA

    Wataongea mengi sana lakini Magufuli ni Rais bora amewabana mnashindwa kuiba mnaanza kusema ndio yalikua malengo yenu, mbona hamsaidii kuongoza mnapiga makelele ya kutafuta pakukosea na hamtapata mwiko ni kazi kwenda mbele na JPM
  4. J

    Edward Lowassa adai kuwa TB Joshua amemtabiria ushindi katika uchaguzi Mkuu 2020

    Alishatangazwa mgombea kwani au ndio amejikabidhi mamlaka zote mpaka atakapoamua kuacha yeye
  5. J

    Kuna kila dalili za Lembeli kurudi CCM!

    Tofauti yake na hao waliopewa nafasi ni kwamba wale wanayo hela yeye hana pili wale wanatokea upande kasikazini mwa Tanzania yeye anatokea kahama
  6. J

    Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema na Diwani Ally Bananga Wanusurika Kutekwa

    walikua wamejiteka wenyewe maana ndio hao kila siku wanasema polisi hawana kazi wanayofanya na kila siku wanawatetea majambazi
  7. J

    Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ atangaza kuachana na soka

    alikua amepoteza mvuto timu yake haina ushindi zaidi ya kufungwa kila siku
  8. J

    Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

    Huwezi kuelewa maana unataka kila kitu kimsaidie bibi yako, vingine vipo kwenye masilahi ya taifa ya jumla au tunaita General objectives ndio baadae utaona faida nyingine inakuja kwako na kwa bibi yako. huo ushamba watanzania wengi sijui tumetoa wapi hata unaamua kuandika bila kujiuliza na kufikiria
  9. J

    Ujumbe Mzito wa Viongozi wa CHADEMA, Wafanya ziara ya kikazi ya siku 7 nchini Ujerumani

    Masikini huyu nae anaongea nini au wazungu hao wajerumani watakuja kukusaidia nini wewe hapa?
  10. J

    Waziri Mkuu: Serikali kugharamia athari za tetemeko la ardhi Kagera

    hile ndio kiswahili cha wapi? kila kitu kinachopatikana ni cha serikali hata michango ya harusi wanaomba wazazi wako lakini anayepewa cheti cha ndoa ni wewe
  11. J

    Mbatia: Serikali hakuna ilichofanya kwenye maafa ya Tetemeko Bukoba

    yeye amekuja bukoba na anatoa ahadi kuwa ataleta mahema, can you imagine tanznaian politician, anajua hali ya watu halafu anatoa ahadi badala ya kuja na mahema moja kwa moja? nani atamuelewa once akileta labda week ijayo halafu akakuta wengine wamekuja nayo itakua na maana gani.nina wasi wasi...
  12. J

    Salum Mwalimu ukitoka mahabusu achana na CHADEMA

    kwanini asiende kueneza cha zanzibar anahangaika huku wakati huku yupo mwenye nafasi kama yake? huyu mwalimu hajui mipaka ya kazi zake
  13. J

    Kafulila abwagwa, Mahakama Kuu yampa ushindi Hasna Mwilima ubunge Kigoma Kusini

    akamsaidie mke wake kazi sasa maana mke ni mbunge nae anataka kua mbunge tena kwa kulazimisha
Back
Top Bottom