Recent content by Juma dede

  1. J

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini ukiona picha za Programu hizi? (Nero, Ashampoo, JetAudio na Window Media Player)

    Kuna mwanangu bado ana vimba na jet audio
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wazazi mnashirikiana na shule kuwatesa watoto

    Usomaji usio na tija wala manufaa kwa taifa we mtoto aamke saa 10 usiku arudi saa 12 mpaka saa 1 usiku naapo bado ana home workers zinamtolea macho rikizo yenyewe hana anacho kisoma shule akija kuki aplay mtaani hakifanyi kazi apo ndipo mkoloni alituweza ifikie mahala wazazi tuamke kutoka...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    pole sana ndugu hii mikwamo ipo kila mahali japo kila mtu anakwama kwa nafasi yake,chamsingi ni kumtegemea aliekuumba na kukaza tu alafu chamsingi zaidi kaa mbali na riba maana riba haijawai kumuacha mtu salama
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, unapaswa kubadili shuka mara ngapi?

    mambo ya kufua mashuka nao ni uwoga wa maisha we funika kiwiliwili kichwa weka nje ya shuka mpaka siku ukiona shuka limekuwa la baridi ndo ulifue
  5. J

    JamiiForums Tanzania Katekista Katoliki ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua Mlei

    Mbona habari zenu hazijitoshelezi maana chanzo cha tukio la mauaji hakijajulikana
  6. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Director Nisher afariki dunia

    pale muda unapofika hakuna wa kuzuia
Back
Top Bottom