Ata mtoto wa chekechea asngekubali Kua ni mwizi na mla rushwa mda wenu wa kutumbuliwa umefka acha muisome namba mliwanyanyasa sana wafanyakazi wa bandari na TRA sasa wafanyakazi wa TRA na Bandari ndio wanawatumbua majipu 2015-2025 na hamjui kesho yenu kama yatawakuta ya kina Mramba na Daniel...
Ata mtoto mchanga hawezi kukubali kua ana utajiri wa Trilion 5 ila ukiona wanatapatapa kwa awamu jua mzizi/jipu limeshakatwa hawa dawa yao ni kuendelea kuwafnya vyanzo vyote adi migodi Ya Tanzanite one Mining ili wakane vizuri sasa apo mmerahsha uchunguzi
Naona wameanza kuruka na kukanyagana subiri wataalam waendelee kukata mizizi yenu yote mwshon mtabak na heka ya mananas na pensheni mlizani nchi haina wenyewe ngoja Mheshimiwa Rais kipenzi chetu John Pombe Joseph Magufuli na vijana wake wazalendo wawaonyeshe mamlaka ya Rais Mzalendo. ..Mkiskia...
Mkawaeleze kuwa kuptia yeye makontena po yameanza kulipiwa kodi na hayalipiwi tena kodi kwa wajanja wachache china...na hayatoroshwi tena na pia waambie Dr.Mpango amepewa uwazri wa Fedha ili aweze kuwatumbua vizuri wezi wa bandarini na TRA ..Pia mashamba waliyojimiliksha wahindi na wagen...
kazi za Mheshimiwa Lukuvi nazani atuletee maendeleo ya mgogoro wa Zanzibar na viwanda vilivyojengwa kwenye makazi na vinavyotoa moshi mchafu kama WAZO-TWIGA CEMENET kwa kushrkiana na NEMC
wewe naona ni jipu kalipie makontena toka Mheshimiwa Rais Magufuli na Mheshimiwa Waziri mkuu Kassim Majaliwa waanze kupasua majipu umegeuka upinzani na wapinzani wamegeuka CCM ....mtaisoma namba...Mheshimiwa Magufuli alishawaambia hana ubia na mfanyabiashara na hakupokea ata shilingi kama...
Mleta mada toka mirija ya bandarini ibanwe naona umegeuka mpinzani sijui ulikua mnufaika...lazima mfanye biasahara halali ya kaisari mpeni kaisari ili watoto wa watanzania maskini wasome bure
RAIS NI TAASISI CHAMA NI SAWA NA NGO'S au SACCOS MLETA MADA HIZO NI POROJO CHAMA NA WAFANYABIASHARA HAD NOTHING TO DO KWA MHESHIMIWA RAIS SOMA VIZURI KATIBA YA NCHI RAIS NI TAASISI SI MTU SO WAKIJARIBU KUMHUJUMU RAIS CHA MOTO WATAKIPATA .....RAIS NI WA WATANZANIA WOTE ILA SI WATANZANIA WOTE...
gonga si owner/mmiliki na hana jeuri hiyo mmemuweka kivuli tu na mmeshindwa kurun company baada ya magufuli kubana mirija mmeanza kwa kupunguza wafanyakazi 600 cz mlileta waswahili wengi kwa fujo kutoka kando ya bahari mkjua business itakua as ussual kumbe jpm ni mzee wa kutumbua majipu. ..Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.