kwa jina naitwa juliano norman(24),ni mkazi wa mtwara,mimi ni wa kwanza ndani ya familia yetu na kufuatiwa na ndugu zangu wawili,mwaka 2005 tulifiwa na mama yetu na kuachwa na baba tu,maisha yalikuwa magumu zaidi kwani jamaa wa upande wa mama walitutenga,wakati mama katutoka mwaka 2007...