Recent content by Juju_Kiki

  1. J

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs medical laboratory

    Nina Physics wat about medical laboratory
  2. J

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs medical laboratory

    Sawa nimeelewa nimeomba tayari. Sasa what if nina F ya physics wanaweza nichagua kweli? Maana niliomba CO wamenitema ndio nimeomba medical lab
  3. J

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs medical laboratory

    Shika adabu yako. Sikukulazimisha kunipa ushauri kama hukua na kitu cha kusoma bora usingeshusha suruali yako..maana ni kama vile umetumia njia nyingine kujibu na sio Mdomo.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs medical laboratory

    Shukraan sana
  5. J

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs medical laboratory

    Me pia nataka kujus
  6. J

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs medical laboratory

    Thank you soo Much ushauri wako umenisaidia sana. Thank you alot.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs medical laboratory

    Habari ndugu zangu. Mimi naomba mnijuze kati ya clinical medicine na medical laboratory ipi ni bora na yenye ajira kwa haraka. Na mishahara yake ipoje? Na je kama mtu akisoma certificate miaka miwili ili kuendelea diploma ni lazima aanze tena miaka mitatu au anaendelea mwaka mmoja?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupata password za kulog in NACTE

    Mimi pia nimepata tatizo hilo.na hata ukiserch hawakuletei.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupata password za kulog in NACTE

    Mimi pia nimepata tatizo hilo hilo..hata sijui inakuaje maybe tujaribu kupiga zile number
  10. J

    JamiiForums Tanzania Fund/sponsor wa biashara ya bar anahitajika

    Naomba nikutafute inbox.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Fund/sponsor wa biashara ya bar anahitajika

    Yap!! Ndio MTU ninaye mtafuta kwa sasa. Atakaye kuwa willing kuelewa plan yangu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Fund/sponsor wa biashara ya bar anahitajika

    Loan bank sikuweza pata sababu sikua na security ya kuonyesha.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Fund/sponsor wa biashara ya bar anahitajika

    Habari ndugu zangu, Nina eneo la kufanya biashara ya bar/lounge Dodoma mjini. Natafuta mtu atakaye ni sponsor na baada ya miezi 10 mpaka mwaka akapata refunded back na some percentage kulingana tutakavyoingia mkataba. NB: Kwa aliye serious ani inbox..
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wine aina ya veyula 7500

    Kama vipi wewe pita tu. We unakaa hapo Mimi naingiza sIku ndugu yangu. Kama huhitaji usijisumbue na usijipe stress.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wine aina ya veyula 7500

    Aya bwana mi nafanya biashara ndo napata hela ya kula na wanangu
Back
Top Bottom