Recent content by juecom

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tecno hii ina tatizo gani?

    Ila ni ushauri tu ndugu, unawezabukapata gharama kubwa sana kuitengeneza, ilihali hiyo pesa ungenunua simu nyingine, mimi nishanunua tecno, samsung, zote zikazingua, na nilipoteza pesa nyingi kutengeneza, yaani fundi akitengeneza leo, kesho tatizo jingine linaibuka,, tena simu ikishakuwa flashed...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tecno hii ina tatizo gani?

    Nop,unaeza kuuza hata spea kwa fundi simu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tecno hii ina tatizo gani?

    Best solution fanya kuiflash, then iuze, tecno zinazingua, hata mm nishakuwaga nayo ikawa inajiwasha data hata ukizima, nilichofanya ni kuiuza maana sikutaka kuflash...so wewe fanya uiflash then uiuze tu, maana huwez jua kama itapona kabisa au tatizo litarudi tena
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tecno hii ina tatizo gani?

    Kwan uli root hiyo simu?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tecno hii ina tatizo gani?

    Fanya kuireset au restore simu, ishu ya betri kuchemka cjui nn tatzo, maybe unaitumia cm ikiwa kny chaji, au cm ina apps nyingi sana kuliko uwezo wake or other reasons..
  6. J

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Nina iphone 5 nataka kubadilisha motherboard, so mwenye iPhone 5 ambayo anauza vifaa njoo ni dm
  7. J

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Beta ukarudia hayo mawili usafishe, bcoz science without mathematics is like wife without husband
Back
Top Bottom