Recent content by Judi wa Kishua

  1. Judi wa Kishua

    Eti wazanzibar? ndio wanaohusika? Are you seriously?

    Waliokuwa wanaua watu hovyo walikuwa na lafudhi ya Zanzibar.
  2. Judi wa Kishua

    Kanisa Katoliki, wafu mnaowaombea na walioharibiwa, kuibiwa na kuvunjiwa mali zao, wote ni waumini wenu

    Serikali ya CCM haina ubavu wa kuipangia nini cha kusema wala trend ipi ya kufata kwa Kanisa Katoliki. Taasisi pekee imara inayojitosheleza kuanzia maamuzi mpaka muundo.
  3. Judi wa Kishua

    Kanisa Katoliki, wafu mnaowaombea na walioharibiwa, kuibiwa na kuvunjiwa mali zao, wote ni waumini wenu

    Upo rika la kunyonya maziwa ya mama. Unaandika utoto kila kona.
  4. Judi wa Kishua

    Kanisa Katoliki, wafu mnaowaombea na walioharibiwa, kuibiwa na kuvunjiwa mali zao, wote ni waumini wenu

    Wakati wa uapisho Padre wa Kanisa Katoliki alikuja amevaa mavazi ya kuashiria maombelezo. Rangi ya zambarau uwa inavaliwa kwenye misiba au matukio ya aina hiyo. Awa watu sio machawa mnaoweza kuwapa million 50 akaogopa kutaja neno HAKI.
  5. Judi wa Kishua

    Kanisa Katoliki, wafu mnaowaombea na walioharibiwa, kuibiwa na kuvunjiwa mali zao, wote ni waumini wenu

    Waache wakatoliki waombee roho za marehemu na waliopata majeraha. Nyinyi ombeeni magari yalioungua na vituo vya mafuta. Kwani tabu inatokea wapi!!??
  6. Judi wa Kishua

    Huyu mzanzibari Haji Omar Kheir swaiba wake Samia awe wa kwanza kuwajibishwa kwenye mauaji ya October 29. Tuanze na huyu!

    https://youtu.be/HxhQsqOlugM?si=S5Qr178OFL9BN_5w Mzanzibari, Haji Omar Kheir swaiba na mshauri wa Samia kwenye masuala ya kisiasa aingie kwenye orodha ya wataowajibishwa kwenye mauaji ya maelfu ya watanzania yaliyofanywa na serikali. Hakuna wa kusamehewa hakuna kusahau. Lazima avae karoti!!
  7. Judi wa Kishua

    Mwalimu wa Shule ya Sekondari Makumbusho (Dar) afukuzwa kwa kosa la kutoa adhabu kali kwa Mwanafunzi

    Barua ya uongo. Kijana aendelee kupiga kazi na kusimamia nidhamu.
  8. Judi wa Kishua

    GE2025 Majizzo apata ajali mbaya akiwa kwenye kampeni za CCM Zanzibar, wawili wafariki

    Nimeona habari kuwa Majizo amepata, kuna yoyote anaweza thibitisha hii ajali? Na kwa nini watu Instagram wamefurahia badala ya kusikitika?
  9. Judi wa Kishua

    Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

    Ukitumia Google kuijua Cuba umeshafeli. Vijana tembeeni
  10. Judi wa Kishua

    Polepole ana watu na ana hoja, sijui CCM wafanyeje ili kumdhibiti?

    Hasta la Victoria Siempre Asere.... Hii tutashinda, kuna mtu anaamini Polepole na wanaomuunga mkono watashinda? Je watashindaje?
  11. Judi wa Kishua

    GE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC): Polepole hana uelewa na ufahamu kuhusu mfumo wa Uchaguzi

    Kukata mzizi wa fitna. Wachukuliwe maafisa wa vyama vyote na waangalizi huru kutoka nje waifanyie review mifumo yote kwa uwazi. Kisha watupatie majibu. Hii ni kuanzia uandikishaji, upigaji kura, UKUSANYAJI MATOKEO, na utangazaji matokeo.
  12. Judi wa Kishua

    Yajue haya kuhusu watanzania kabla hujawatetea na kuwapigania

    Uchaguzi umefika tutaona wengi rangi zenu. Vijana mna njaa sana alafu uwa mnajisahau kujifanya mnajitambua
  13. Judi wa Kishua

    GE2025 Polepole : Tundu Lissu anastahili kuwa nyumbani kwa mkewe na familia yake bila masharti yoyote

    At least tumeshuhudia mwisho wa miaka 20 ya usanii na utapeli wa Mbowe.
Back
Top Bottom