Recent content by JUDDIE C

  1. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Mafuta mengi usoni : Jua jinsi ya kukabiliana na kuishi nayo

    Asante kwa elimu nzuri
  2. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Hospital nzuri ya kutibu Masikio

    Ekenywa magomeni
  3. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Saratani ya matiti (breast cancer)

    Asante kwa elimu nzuri. Kuna uvumi kuwa kunyonywa sana chuchu kunapunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti,je hii ni kweli?
  4. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    mada ilikuwa inaenda vzr yani kaibuka mtu mmoja tu kuvuruga basi mada nzima imesimama yameanza malumbano.minashauri Deception usijibu lolote kutoka kwa hao wanaopinga coz hii mada si kwajili yao,we shughulika na wanaotaka kujifunza kutoka kwako,hao wengine wanyamazie tu hata watume comment gani...
  5. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Spot the difference

    picha ya kwanza mkono wa binti una ring nyeupe na picha ya pili hauna
  6. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

    Asante kwa elimu nzuri
  7. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Dogo umetishaaaa, full confidence

    mmh c anatafuta kifo dogo
  8. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu vs Elimu yao

    hahahaaahaa hata hajui anakoelekea maskini
  9. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Kuvunjika Kwa Koleo Sio Mwisho wa Uhunzi

    Mungu azidi kumsaidia maana ameonesha nia ya kujishughulisha licha ya kutokuwa na miguu.
  10. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Hongera BRN huyu nae atafaulu, ni moja ya CSEE 2014

    mmmmh anatia huruma kwakweli
  11. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Baby Usi-Panic!Sio mimi

    dah aisee pole zake huyo jamaa mana mmmh
  12. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania semeni kama hii ni kweli

    imekaa njema
  13. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    cna tofauti sana na mdau hapo juu ila naomba niongezee point kidogo,unaweza ukauchemsha ukwaju huo pamoja na maji yani vyote vichemke kwa wakati mmoja halafu ukishachuja ikipoa chota glasi moja ya juice hiyo kisha weka asali vijiko viwili,hii haina madhara yoyote kwani asali nayo ni dawa nzuri
  14. JUDDIE C

    JamiiForums Tanzania Ushauri vyakula gani vya asili vilivyo na virutubisho vingi

    tumia asali badala ya sukari popote penye uhitaji wa sukari,pia kunywa sana juice ya matunda fresh bila kuweka maji hata kidogo,mboga za majani na ugali wa dona kwa sana
Back
Top Bottom