Recent content by Judah Tribe

  1. Judah Tribe

    Heri ya Mwaka Mpya 2025

    YESU NI MWEMA
  2. Judah Tribe

    Hivi Yesu ni mwana wa Maria au Mungu?

    MWANA WA MUNGU ROHONI MAANA MUNGU NI ROHO ILA KIMWILI UNAWEZA SEMA MWANA WA ADAMU SIO MARIA MAANA MARIA NAE NI MWANA WA ADAMU... JAPO WENGINE HUMUITA ADAMU WA PILI SEMA YESU KOTE KOTE ANA FIT TU UNAWEZA MUITA MUNGU SAWA.... MWANA WA MUNGU SAWA.... NABII MKUU SAWA... ADAMU WA PILI SAWA
  3. Judah Tribe

    Jamaa yangu Kwa wazazi wake ni pachafu Sana. Mama yake anaishi Kama mnyama

    HILI NI FUNZO..TUMUOMBE SANA MUNGU ATUSAIDIE TUWE NA MAISHA BORA ILI HAPO BAADAE TUSITEGEMEE WATOTO MAANA WATOTO TUMEWAZAA SISI WAZAZI. SEMA NAE MTOTO KIDOGO AJIONGEZE KUPABORESHA NYUMBANI JAPO SIO LAZIMA.
  4. Judah Tribe

    Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

    Yote ya yote story nzuri Ina ukweli ndani yake Maana Soweto Mbeya Kwa Matapeli Hakujambo Ndio Nyumbani kwao
  5. Judah Tribe

    Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

    Ni kweli ila kwanini mnapotunga story kali kama hii lazima kula tunda kimasihara iwepo inamaana hamna ubunifu wowote bila kuwepo kula tunda kimasihara Yani kama haitakuwepo fulu mpaka kula mbususu lakini lazima iguse iguse kama ulivyo igusia wewe kidogo. Inamaana pona pona ya huyo Dada usiku...
  6. Judah Tribe

    Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

    Story IMESHAGEUKA INAELEKEA KWENYE KULA TUNDA KIMASIARA... SIFUATILII TENA HUU UZI NI NUSU CHAI NUSU MAJI YA KANDORO
  7. Judah Tribe

    The dark side of business

    Ukiingiza tu story za kula tunda kimasihara naacha kuusoma huu uzi ndugu mwandishi Huwa zinaanza hivi... Yule baba ake febi alikuwa na binti anaitwa manka Basi nilivyo kuwa naenda kuongeza kitabu kingine kumbe mtoto kanielewa ila tu alikuwa haniambii Toka kitambo HUWA ZINAKELA SANA AISE...
  8. Judah Tribe

    Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

    Hapo kwenye kusambaza like Umewapatia Tena wote wawili
  9. Judah Tribe

    VIDEO: Mtanzania akimkimbia traffic police Zimbabwe katika harakati za kuingia South Africa

    Watanzania tunatia huruma Sana ukiiona video hii ni aibu we mtu anakimbilia porini hata hajali huko porini atakutana na nini. JIANDAE KUKUTANA NA HAYA KAMA UTAHAMIA NCHI ZA WATU BILA PASIPOTI UTAISHI KAMA DIGI DIGI Papers ni za muhimu Sana kwenye nchi za watu tusihamie kienyeji sana Ona huyu
  10. Judah Tribe

    Natoa siku 3 kuanzia Leo aliyegonga gari yangu eneo la club D Jijini Arusha na kukimbia la sivyo kitakachomkuta tusije kulaumiana

    BADO NAISHI MKUU YESU ANANILINDA MAANA NILIGONGA KWA BAHATI MBAYA SIO MAKUSUDI ILA JAMAA NDIO AKAJA NA VITISHO VYAKE.
  11. Judah Tribe

    Njoo chukua hii xTaril kwa Tsh8.8M

    Mimi huwa naamin HAMNAGA gari bovu... Ni matumizi yako tu nimewahi tumia Noah voxy ambazo zinasemwa Sana maana Noah voxy na Nissan xtrail ni mtu na Dada kwa kusemwa vibaya Lakini nilicho kuja kugundua kwenye Noah voxy gari ile haiitaji usumbufu kabisa katika service na Kama ukijisahau kujaza...
  12. Judah Tribe

    Ee Yesu uziongoze roho zote mbinguni, hasa wale wanaohitaji msaada wa huruma yako

    Mimi sina cha ziada zaidi ya kusema ukisipo okoka utachomwa kwenye moto wa Milele mpokee Yesu leo tena moto ni mkubwa Sana kwenye nyie atheists
Back
Top Bottom