Recent content by juchi

  1. juchi

    Wife hataki sex na mimi kabisa! Jamani nifanyeje!

    Yaani we jamaa ni zalau zako tu dalili zote ulisema ni za jini ambae anamliwaza mkeo then anakuwa hana hamu naww sasa ww endelea na zarau zako mwisho atampa mimba yeye au ataondoka nae
  2. juchi

    Mambo ya kabla ya uwepo wa binadamu yalijulikanaje?

    Nawausia ninyi miongoni mwenu ambao mna mchezea shele mwenyezimungu ambae kaumba kila kitu na ambae anaumba anacho kitaka bila ushauli kutoka sehemu yoyote kwa hakika kila mnalo lisema linaandikwa na inawezekana lina faida kwenu au lina hasara kwenu be care one day one time you will die
  3. juchi

    Mambo ya kabla ya uwepo wa binadamu yalijulikanaje?

    Mwenyezimungu (s.w) amempa mwanadam akili ili aweze kujitegemea kutokana na kupewa kwa akili mwanadam huyu pia mwenyezimungu aka muekea njia mbili ambazo ni njia ya upotovu ambayo akiifuata mwisho wake motoni na njia yenye uongofu na mwisho wake peponi kwahiyo mwanadamu atatumia akili aliyopewa...
  4. juchi

    meseji za kuchekesha

    Ndio tuleteee hapahapa
  5. juchi

    mfungwa mjanja

    Hahahaaaa that is maujanja
  6. juchi

    Mambo ya kabla ya uwepo wa binadamu yalijulikanaje?

    Mh wallah ninyi mpo kwenye giza hamjui muendako wala mtokako na mnaweza kukufuru sasa ngoja niwape ufupi wa majibu ya maswali yenu ,.Mwenyezimungu kabla hajaumba mwanadamu hii dunia ilikuwa inatawaliwa na majini ambao wameumbwa kwa cheche za moto hao majini walipewa utaratibu jinsi ya kumuabudu...
Back
Top Bottom