Recent content by jubainsolution

  1. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon aipongeza Tanzania kwa uchaguzi Huru na Haki

    hahahahaaaa...tatizo la ukawa kila mtu hawamwamini hapa duniani...wanamwamini mbowe, mbatia na lowasa... TWAWEZA walitoa yafiti hawakuamini wakasema wamehongwa...synovate wakatoa pia wakakataa...hali ya kua synovate ni la kimataifa...sasa hao ccm wamewahonga hadi UN? hebu ukawa jitambueni...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    sasa wasiwasi wako ni wanini...wakati magufuli anakuja kupiga kazi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Lubuva kushitakiwa mahakama ya Tanzania

    ukawa wanaleta comedy sana...wanadhani watz ni wajinga sana...hatudanganyiki na raisi ndio tushamchagua tayari watz..
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    hoja ndio msingi sio lugha...cha msingi ujumbe ufike
  5. J

    JamiiForums Tanzania Moses machali, Zitto Kabwe kakupoteza

    ukiwa bana....ah kumbe ukawa
  6. J

    JamiiForums Tanzania Frederick Sumaye na kusaidia upinzani

    ukawa kubalini kura zenu hazikutosha kwa Lowasa...muibiwe kitu gani ninyi?
  7. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walipeni mawakala wenu waliosimamia uchaguzi

    ukawa....ukiwa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    chadema hawana jipya...tumewastukia nyenzo zao
  9. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Ni kweli jimbo hili NEC imeshatangaza matokeo yake kwa ngazi ya uraisi?maana nimeona press conference ya UKAWA jana wakilalamika wameibiwa kura zao naomba mwenye ushahidi wa kutangazwa kwake atuwekee hapa.Wanadanganya uma sana hawa jamaa
  10. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa mpango wa Mungu binadamu hawezi kupinga

    pole sana
  11. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    kweli upeo wa kuchambua ni mdogo sanaaaaaaaaaa.....bado huamini raisi ni nani hadi sasa? unataka utuaminishe matokeo ya Mbowe?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    lini mlikubali matokeo?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Makamanda: Kumbe CCM ni wepesi kiasi hiki!

    Nimebaini hili kwenye uchaguzi huu. Ukweli ni kwamba CCM ni wepesi sana. Wanashinda kwa margin ndogo ndogo sana. Wanashinda kwa mbinu za tuhesabu tena kura!Ukweli wakitaitiwa vizuri wanaishiwa pumzi mapema sana na kuachia. Pale walipotaitiwa waliachia mapema sana! Mdee kawatait, Mnyika kawatait...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania Postal Bank (TPB) wanatoa commission tu

    Mh hahahahahahahahaha
Back
Top Bottom