Hivi wewe unaakili sawasawa? Hata kama mamayako hakukupa malezi unapaswa kujifunza hata kutoka kwa majirani. Udini unakusumbua wewe juha. Huwezi kuandika bila kuwataja wakatoliki? Mbona hospitali zao unakwenda kutibiwa? Mbona shule zao mnasoma?
Ukichangia unatakiwa kujenga hoja na sio kuleta hisia. Anaposema haki kwa watanzania unaelewa nini? Kajifunze kusoma kwa ufaham ndio urudi kuchangia hoja humu
Hivi una akili timamu wewe? Huna haya kushangilia mauaji ya Mtumishi asiye na hatia? Kuna wakristu waliowahi kudhulu watu mwembechai? Ni kinanani? Kama wahalifu wana wajibishwa na serikali kwa uhalifu wao udini unatoka wapi? Wewe ukuuawa kwa sababu ya dini yako familia yako inaona nisahihi...
Habari wa JF
Nadhani ni busara kujadili mada kwa uhalisia na kwa kujenga hoja. Si uuungwana hata kidogo kuacha kujadili hoja na kuanza kumjadili mtu. Kama kuna hoja ya MOU ya waislam kutokupewa nafasi ya kusikilizwa ni busara kueleza nini kilijili hadi ikawa hivyo ( na wenye kujadili sharti wawe...
Shekh ponda na wenzake wote wanastahili kukamatwa na kuchukuliwa hatua stahiki ili kudumisha amani na utulivu mana amekuwa akiendeleza uchochezi kwa muda mrefu sana, na hiyo ni hatari kwa mustakabali wa nchi.
Binafsi, nawapa pole ndugu na jamaa wote wa familia ya mpendwa wetu na baba yetu MH. Bob Makani kwa msiba uliotufika. Tunaungana kumwombea kwa mungu, Baba yetu ili ampumzishe mahali pema peponi. La muhimu kwetu tuliobaki ni kuendeleza kwa matendo yale yote aliyotufundisha. Alikuwa imara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.