Recent content by JsMobesh

  1. J

    Je Bunge Maalum la Katiba ni halali kama rasimu ni fake?

    Kwanza nawasalimu! Hivi ni katiba gani inaandikwa kwa ushindani? Je kama rasimu ni fake? Je BMK ni halali? Rasimu ipi wanaijadili? Je Kikwete aliruhusu vipi rasimu tena kwa kuisign kama ni fake? Au walitafuta namna ya kuhalalisha njama zao za kuboresha katiba ya zamani kwa michakato hii...
  2. J

    Salim Kikeke wa BBC Swahili alitumwa kuuliza haya?

    Wewe chali nipe siri ya utajiri wa fasta hivyo watu tunahangaika lakini wapi? Au ni dingi nini?
  3. J

    Wasanii wetu na 'Uzalendo wa maslahi'

    From what i see ukiwauliza maana ya uzalendo hawajui kabisa, na kwamini waliimba pia hawajui utasikia mi nilimbiwa na mchizi wangu diamond tupige hii ngoma nikaingia studio
  4. J

    Msaada kuhusu uhuru wa zanzibar

    Tanganyika and Zanzibar Tanganyika was admitted to the UN on 14 December 1961, and Zanzibar was admitted to the UN on 16 December 1963. Following the ratification on 26 April 1964 of the Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar, the two states merged to form the single member...
  5. J

    Unapanda Basi gani kuelekea 2015

    m4c daima.
  6. J

    Nawaza zaidi ya wao: UKAWA ni distraction ya mgogoro wa CHADEMA

    Na mdada unataka nini huko CCM, Unatafuta mme au? wengi waume za watu, usije ukazeekea kulamba miguu ya watu, fanya kazi kadri umri unavyokuruhusu, acha majungu.
  7. J

    Live updates mkutano wa ukawa pemba

    umoja wa katiba ya wananchi
  8. J

    Live updates mkutano wa ukawa pemba

    Hey updates jamani mbona tory tu mnafanya.
  9. J

    Pigo CCM: Umoja wa wainjilisiti Tanzania (UWAKITA) waunga mkono rasimu ya pili ya Warioba

    Mimi ni mtanganyika halisi, sina muda wa kubishana na wanaopaki basi kwa ndiyooo!!! Iwe leo ama kesho lazima tanganyika yangu irudi.
  10. J

    Mdahalo: Bunge la Katiba na Tanzania Tunayoitaka

    Great news. Thanks kwa taarifa
  11. J

    Vijana Tanzania Amka Tupambane na Umaskini

    uwiiiiiiiii! Ndivyo alivyokuwa akilia mama mmoja aliyefiwa na mumewe. Baada ya mazishi nilishangaa kadakwa na polisi nikauliza kulikoni? Nikaambiwa kamwua mme wake sumu aliyoiweka kwenye bia. mtoto katoa siri kuchunguzwa ikawa kweli. ndo kama wewe. Muibe nyie, mlie mnyie. MNAFIKI MKUBWA WEWE.
  12. J

    Sijawahi kuona kitu kama hiki

    jamani hii ilikuwa serious au imeundwa?
Back
Top Bottom