TheTanzaniaWeWant
Member
- Oct 23, 2013
- 23
- 1
Haya tena wadau, La mgambo likilia lina jambo,
East Africa Business & Media Training Institute ikishirikiana na East Africa School of Journalism and Broadcasting, inakuletea mdahalo wa Bunge la Katiba na Tanzania Tunayoitaka, utakaofanyika katika hotel ya Serena, Dar es Salaam ukumbi wa kivukoni, kuanzia saa 9:00 alasiri mpaka saa 12 jioni, Siku ni Jumapili tarehe 4 May, 2014
Wazungumzaji katika mdahalo huu watakuwa
NAPE NNAUYE
Katibu wa Itikadi na Uenezi - Chama cha Mapinduzi
DR. FRANCIS MAIKO
Mbunge wa Bunge la Katiba - Kundi la 201
MH. JUMA HAJI DUNI
Mbunge wa Bunge la Katiba - Chama cha Wananchi CUF
HUMPHREY POLEPOLE
Mjumbe wa Tume ya Katiba - Tanzania Bara
AWADH ALI SAID
Mjumbe wa Tume ya Katiba - Zanzibar
Mwendeshaji wa Mdahalo huu ni Bi. Rosemary Mwakitwange
Mdahalo huu utarushwa moja kwa moja (LIVE) kupitia kituo cha ITV kuanzia saa 9:00 alasiri mpaka saa 12 jioni.
Kwa watakaopenda kupata kadi za kushuriki mdahalo huu wanaweza kuwasiliana kwa simu namba 0717 190 856 au 0718 607 403
Nyote mnakaribishwa.