Kazi baado ipo kweli! Mungu ibariki tanzania na watu wake. Amani na upendo vitawale. Sote tuimbe.................. Tanzania amani na maendeleo.............. Amani na maendeleo....Tanzania
NAONA WAKALA WA TBA AMETOA EASY AND CHEAP ANSWERS TO TOUGH QUESTIONS. JENGO KAMA HILO HALIPASWI KUWA NA KASORO KAMA INAVYOONEKANA. EXPANSION GAPS NO TOFAUTI KAMA INAVYOJIOONYESHA. BORA KUREKEBISHA TATIZO BEFORE IT IS TOO LATE
Fursa kwa wanaohitaji kujikita kati aujenzi wa uchumi kuoitia kilimo imekuja. Kwa siku 2 kuanzia 29-30 Nov. 2017 jijini Kampala, kutakuwepo na kongamano kubwa, ambalo wakulima, wafanyabiashara, wajasiliamali hususani kutoka kanda ya Ziwa na Mkoa wa Kagera hawapaswi kukosa. Maelezo ya kongamano...
Miaka ya nyuma tuliwahi kuwa na vikao vya ujirani mwema na nchi tunazopakana nazo. Katika vikao hivi kulijadiliwa masuala yanayojenga ujirani mwema ikiwa nui pamoja na kutafuta ufumbuzi wa migogoro iliyokuwa inajitokeza.
Huenda vikao hivi virudishwe ili masuala yanoyoweza kutaraisha ujirani...
Tukio la leo la kujaribu kumuua Tundu Lisu, limetupaka matope kama Taifa, katika kipindi hiki ambapo tunatafakari jinsi ya kujenga uchumi wenye viwanda. Binafsi nina laani kitendo hicho. Ninakumbuka Jaji Mstaafu Warioba, alitaka tuunde katiba mpya yenye kusisitiza Tunu za Taifa, ingawa...
Kwa hali niliyoaana, kuna kisingizio kuwa wamevamia vyamzo vya maji. Si kweli. Hiki ni kisingiziyo kinachotumika. Kama ni kutunza au kuhifadhi vyanzo vya maji, kwa nini wakulima walazimishwe kutoka waache wafugaji. Uharibifu wa mazingira husababishwa na mifugo pia. Hata hivyo: kwa umbali.. si...
Zaidi ya kaya 91 katika vijiji vya Chabuhora na Kanoga wilayani Karagwe, Mkoani Kagera wameachwa bila makazi baada ya nyumba zao kuteketezwa kwa moto na Mkuu wa wilaya ya Karagwe, baada ya wahusika kukaidi agizo la mkuu wa wilaya ya Karagwe, la kuhama maeneo waliyomo kupisha kuharibu vyanzo vya...
Tarehe 21.9.2016 Nimefika katika kijiji cha Murongo mpakani mwa Uganda na Tanzania. Eneo hili linaonekana kutokuwa na maendeleo, licha ya kuwa, miaka ya 1998-2010 lilikuwa kivutio kikubwa, kwani eneo hili liko karibu na mbuga za wanyama za Rumanyika, karibu na mto Kagera wenye bubujiko la maji...
Jambo ambalo linaniacha mdomo wazi, ni pale ninaposhuhudia ujenzi au upanuzi wa barabara nchini, unapotumia nguvu za ziada kama vile, kubomoa bila huruma, kuvunja bila hata kuzingatia haki za binadamu, kutumia jeshi la polisi kutawanya wananchi wanaokata kubomolewa makazi yao ili kupisha ujenzi...
Kuhusu kurusha Bunge live kwa njia ya Radio, ni kwa kutambua kuwa idadi kubwa ya wasikilizaji waishio vijijini wanaweza kusikiliza bunge kwa njia ya radio, huku wakiendelea na shughuri zao. Suala pia la kupunguza gharama limezungumzwa kwani, studio ya Bunge itaweza kuhifadhi na kurusha bunge...
Rwanda wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 22 ya mauaji ya kimbali mnamo tarehe 7.4.2016. Maadhimisho haya yametanguliwa na wiki nzima ya maombolezo ambako nchini kote, wanyarwanda wamo katika kumbukumbu ya tukio hili la kihistoria.
Taarifa kutoka kwa waandishi wa habari walioko Kigali wamesema...
KAMPUNI YA FJS AFRICAN STARCH DEVELOPMENT CO. LTD imeishaanzisha kiwanda kikubwa cha kusindika mihogo katika wilaya ya Rufiji.
Kampuni hii kwa kutumia mkopo kutoka TIB, iliamua kuwasaidia wakulima wa Rufiji kwa kuanzisha kiwanda cha kuchakata na kusindika mihogo katika viwangi vya juu, kwa...
Sasa kama kila kona hai ni kama hii, kila kukicha Mhe Rais JP Magufuli anatumbua majipu, na sasa mawaziri na wao kila kukicha wanawasimamisha wakurugenzi na viongozi wa taasisi, tunataka tuaminishwe kuwa, serikali awamu ya 4 ilikuwa usingizini? Kama sasa aina hii ya ufisadi inaonekana hata...
Waalimu wanapaswa kuwajika kwa Afisa E|limu wala si mkuu wa wilaya na wala si kwa mkrugenzi mtendaji wa wilaya! Waalimu wanapaswa kuwajibika kwa wakubwa wao ndani ya wizara ya elimu kama chain of command inavyoonyosha nafikiri.
from your angle of view, this is VERY PARADOXICAL kweli! One must like have a confession of faith, to belive the facts. Nachoweza kujibu ni kwamba, zipo mbinu zilizominya uhuru wa kuyaweka madudu haya wazi au it was the order of the day. Ni dhahiri, kinachoonekana sasa, ni kwamba, wengi tulijua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.