Recent content by jsang

  1. jsang

    Gharama za kupandikiza mtoto/mimba

    Hiyo hospital ya mikocheni mnamaanisha kairuki
  2. jsang

    Kubadili nyumba iwe ya box. Je itawezekana kuunganisha na sijaacha matoleo?

    Nataka iwe contemporary house itagharimu gharama kiasi gani kea ufundi wa kujenga na kupauaaa
  3. jsang

    Mambo 10 muhimu ya kuzingatia ili kupunguza gharama za ujenzi

    Naweza kuunganisha hii nyumba na sijaacha matoleo ILI iwe ya kisasa na Lengo ni kuiongeza chumba cha kulala na dinning room na kupanua jikon, pamoja nipate na store, . Ilivyo kwasasa ndio hivyo Ktk picha na ramani ya sasa ndio hiyo iliyozungushiwa rangi nyekundu na ninavyoitaji iwe ni hiyo...
  4. jsang

    Nyumba yangu haina matoleo na nataka kuendelea na ujenzi , je itawezekana kuiunga vizuri bila baadaye Kuleta nyufa

    Nataka iwe ya kisasa na Lengo ni kuiongeza chumba cha kulala na dinning room na kupanua jikon, pamoja nipate na store, . Ilivyo kwasasa ndio hivyo Ktk picha na ramani ya sasa ndio hiyo iliyozungushiwa rangi nyekundu na ninavyoitaji iwe ni hiyo ramani ambayo haina rangi Iwe ya box kama hiyo chini...
  5. jsang

    Kubadili nyumba iwe ya box. Je itawezekana kuunganisha na sijaacha matoleo?

    Lengo ni kuiongeza chumba cha kulala na dinning room na kupanua jikon, pamoja nipate na store, . Ilivyo kwasasa ndio hivyo Ktk picha na ramani ya sasa ndio hiyo iliyozungushiwa rangi nyekundu na ninavyoitaji iwe ni hiyo ramani ambayo haina rangi Iwe ya box kama hiyo chini Msaada kwa wale...
Back
Top Bottom