Recent content by JRK

  1. J

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Hili ni funzo zuri kweli, Priya alijifanya nunda, jamaa anaomba amzalie mtoto, yeye anakula vidonge vya kuzuia bila kumtaarifu, mbaya zaidi jamaa alivogundua na kukasirika akacheat na Zaki, Priya kapanic kapeleka mtoto kwao bila kumshirikisha Rajesh na vikwazo kibao juu ya mtoto.. hakujua kuwa...
  2. J

    Mbinu hatari za kuhakikisha uko peke yako kwa mpenzi wako Kuepuka kupangwa foleni na kutapeliwa

    Ni ushauri mzuri!, na mwanamke yoyote anaeweza kuyaweka haya uliyoyaandika katika matendo, atafanikiwa.. tatizo, mengi uliyoyaandika japo yanawezekana lakini ni ngumu mno kutekelezeka kwa 100%.. Theoretically yes, practically hard though possible..
  3. J

    Tuseme Ukweli: Masikitiko Yangu Vifo Vya Watanzania

    kinachonisikitisha ni itikadi za vyama hata kwenye mambo yanayoligusa taifa, dada FaizaFoxy ametoa mawazo yake na masikitiko yake katika hili swala kutokana na uchungu alio nao.. isitoshe barabara husika inapitiwa na viongozi, wawakilishi na raia wa vyama vyote na wasio na vyama pia, na...
  4. J

    Wanandoa/Wapenzi usiache mbachao kwa Msala upitao

    MARRIED OR NOT, YOU SHOULD READ THIS ... “When I got home that night as my wife served dinner, I held her hand and said, I’ve got something to tell you. She sat down and ate quietly. Again I observed the hurt in her eyes. Suddenly I didn’t know how to open my mouth. But I had to let her know...
  5. J

    Mwanamke Ni Kiumbe Dhaifu Ila Hatari Sanaa! Matatizo Mengi Sanaa Yanaanza With Tears Of A Woman!

    "Hatred does not cease by hatred but only by love this is the eternal rule" Buddha quotes
  6. J

    Dawa ya wanasiasa hii hapa!

    Duniani kuna binadamu halafu kuna wanasiasa. Binadamu wengi huwa wanajitahidi kuwa wanasiasa na siku hizi kila kona wamejaa na wanaboa kweli. Kazi kubwa ya wanasiasa ni kuongea, wakitumia midomo yao, wanaweza kukufanya uamini kuwa wao ndiyo wanajua kila kitu. Tena wanasiasa wengine huwa...
  7. J

    Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    Hivi ni kweli chadema katika miaka yote hiyo hawajajenga ofisi hata moja? kama ni kweli basi inatia shaka, na ninakosa imani na wanasiasa wote wa nchi hii..
  8. J

    USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Hiyo ndiyo siasa, ndio maana siwezi kuwa mwanasiasa.. nitabaki kuwa mtazamaji tu, haya yote yanasababishwa na matumbo... vita zote uzionazo duniani ni vita za madaraka..
  9. J

    Single men

    Umenena vema dada yangu na iwe hivo na kwa wale single ladies wote
  10. J

    Plot inauzwa mpiji darajani

    deal closed, thanx
  11. J

    Plot inauzwa mpiji darajani

    haijapimwa, hati iliyopo ni ya serikali ya mtaa..,
  12. J

    Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

    hivi zama hizi bado kuna watu wanamitazamo ya kikabila.. kwani unaoa mke(mwanamke) au unaoa kabila.. mke mwema anatoka kwa Mungu, mke mwema ni tabia na si kabila... hizo ni Imani za kizamani.
  13. J

    Plot inauzwa mpiji darajani

    namaanisha miguu ndugu yangu.. ni mkubwa wa wastani unaruhusiwa kuona pakikuridhisha unanunua..
  14. J

    Plot inauzwa mpiji darajani

    Plot inauzwa Mpiji darajani, ni karibu na bunju mwisho, karibu na bara bara, dakika 5 kutoka barabarani kwa mguu.. ina upana wa foot 20 na urefu wa foot 30... bei ni 4.7M.. kwa mawasiliano 0782828138 au PM​
Back
Top Bottom