Recent content by jrharakati

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto nyakati za usiku na macho kupungua nguvu ya kuona

    Wapigie hawa watakusaidia 0675617056
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (HESLB) kunani??

    Bodi ya mkopo inapokea maombi ya mkopo baada tu ya mitihani ya kidato cha sita kumalizika na wanatoa info baaada ya wiki kadhaa na sio baada ya matokeo ya mtihani kutoka tusipotoshane na mwisho wa kuapply ni june 31 nimejaribu kutuma pesa kwenye mpesa ya malipo yao lakini kuna stage moja kabla...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wana jamii katika hili

    Nashukuru mkuu kwa wwe ungemshauri akasomeee nni?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kulipia kwa mpesa kuapply mkopo

    Samahani mkuu kama ntakua nimekukosea nashukuru kwa kunijuza maana watu walinipanikisha wakasema tayr wameanza
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wana jamii katika hili

    Hataki education unamsaidiaje mkuu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wana jamii katika hili

    Vi Vipi kuhusu project planning and management na Human resources
  7. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kulipia kwa mpesa kuapply mkopo

    Saw a nashu Na hii inayoonekana hapa ni ya wapi
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kulipia kwa mpesa kuapply mkopo

    Wameshaanza mkuu olas.heslb.go.tz/
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wana jamii katika hili

    Kozi gani ambazo mtu aliyemaliza HGL zinamfaa na zina soko kwenye ajira na mkopo uezekano wakupata
  10. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kulipia kwa mpesa kuapply mkopo

    Wameshaanza ila mbona bado inagoma mkuu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kulipia kwa mpesa kuapply mkopo

    Naombeni msaada wana jamii jinsi ya kulipa kwa mpesa heslb kila nikifika stage ya kuandika reference number ambayo ni 1 inagoma inaniandikia hivi utility number is wrong
  12. J

    JamiiForums Tanzania msaaada wa haraka

    ivi kuna haki yoyote kuhusu Tra wakija kwenye makazi yako na kuchukua bidhaa na kuondoka nayo kisa haujakata leseni naombeni msaada kwa hilo
  13. J

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Kozi hiyo ya environmental and management science iko vipi ina ajira ??
  14. J

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Kozi ya bachelor of science in environmental science and management pale ardhi inahusika na nini na jee ni rahisi kupata kazi.. ?? Msaada wako ndio hekima yangu kuchagua kozi
  15. J

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Na bachelor of science in environmental science and management iko vipi mkuu..??
Back
Top Bottom