Recent content by jpm

  1. J

    JamiiForums Tanzania Marehemu bi Shida naye alipiga kura ya ndio kupitisha Katiba pendekezwa

    Sitta Aibuuuu! Nth mzima ovyo!
  2. J

    JamiiForums Tanzania wamiliki St Joseph University ni Mafia

    Kuweni serious na masomo acheni longolongo!!! Mwanafunzi yeyote asitegemee kufaulu bila juhudi. Mimi naamini hakuna mwalimu yeyote anayeweza kukufelisha kwa makusudi ama kukupa alama za juu kwa upendeleo. Juhudi yako ndio itakayokutoa tu!!!!! Acha Longolongo na stori za kuharibu sifa ya vyuo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Salam Jamii Forum!!

    Nafurahi kuwa mwanajamii forum na ninaamini ni mahali sahihi pa kujifunza mambo mengi ya kijamii na kutoa mchango wa mawazo, maoni na kuelimishana katika nyanja mbalimbali za maisha ya kila siku.
Back
Top Bottom