Mawazo ya mtu yaheshimiwe lkni binadamu kujivika kazi ya MUNGU si jambo jema kifo anapanga yeye uwezi jua nani atatangulia wala urais si taasisi ya kukikaribia kifo unayewaza hivyo jiulize tangu unaandika wamekufa wangapi? na walikuwa wazima ukipata jibu likusaidie kubadirika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.