Msaada kuhusu utaratibu wa kudai mkataba kwenye kampuni

Msaada kuhusu utaratibu wa kudai mkataba kwenye kampuni

jpbr

Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
12
Reaction score
0
Sisi wafanyakazi wa Sinohydro Tunduru tunafanya kazi bila mkataba tangu mradi huu uanze.
 
Sasa mnafanyaje kazi bila mkataba makubaliano yenu yalikuwaje hadi mkaanza kazi coz hapo kuna kuna aina km tatu za mkataba.
 
Back
Top Bottom