Recent content by Jozi 1

 1. J

  Rais Samia: Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja kwa zaidi ya siku tatu

  Hivi unajua Dar kuna Ikulu rasmi Magogoni?
 2. J

  Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

  Kesi kuahirishwa kwa wiki mbili ni kawaida. Ndio utaratibu wenyewe kwenye kesi za jinai. Wewe ndiye unyetaka kuingilia kesi kisiasa na kuzivuruga mahakama. Shwaini
 3. J

  Tanzania inahitaji Rais anayejiamini na mwenye uhakika wa Jambo lake na Maamuzi yake

  Mbona hata Magua alikuwa anateua na kutengua full time?
 4. J

  Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

  Zitto alishasema waisiojulikana wakimuibukia wanakutana na ziwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 5. J

  Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

  Huna maana. Mdomo mdomo tu. Toa keri zako zitatuliwe usimpr mama pressure.
 6. J

  Kama DPP haondolewi ofisini mpaka afanye makosa au awe na tatizo la kiafya, Rais kamuondoa katika mazingira gani?

  Hata DPP Feleshi alipewa ujaji haikuwa maneno. Nyie mnamsongasonga mama. Mna lenu jambo
 7. J

  CHADEMA yaanza kupoteza mvuto wa Kisiasa

  Jiandae kwa Matusi mama. Chadema hua haipokeo ushauri wala kusolewa na mtu. Ukijaribu tu unakula matusi
 8. J

  RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

  Mjaribu huyo mbwa koko uone tamu yake. Utaratibu upo na unajulikana. Umesahau kuwa hata huyo boss unayejidaia naye ni mwana ccm
 9. J

  Kwanini mume wa Rais Samia Suluhu hajaambatana na mkewe ziarani Kenya?

  Yaani kabisa umekuja na mada ya kutuulixa hii swali,m
 10. J

  Polisi waogopa nguvu ya Umma, waruhusu Mkutano wa ndani wa CHADEMA

  Polisi wakiwaacha wamewaigopa sio? [emoji23][emoji23][emoji23]
 11. J

  Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

  Bunge haliendeshwi kwa moral authority bali katiba sheria na kanuni za Bunge
 12. J

  Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

  Haswa pale IFM kuna vibanda vya mama ntilie hatari sana. Hata vimeminya barabara.
Top Bottom