Mimi nimelipia kifurushi cha 15,000/- azam plus kupitia M-pesa ambapo ni channel 50, kama matangazo yao yanavyojinadi lakini nashangaa , wamenifungulia channel za kenya, citizen, k24 , ktn na baadhi za uganda channel zingine hazijafunguka naombeni msaada nipo kimara temboni mwenye namba ya agent...