Treni mpya(Deluxe) yapata ajali Ruvu mkoani Pwani ikitokea Kigoma

chinekeeee

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
1,787
2,894
Treni imepata ajali.

Ajali hiyo imetokea maeneo ya Ruvu kwenda Ngeta(Kikongo), Kibaha mkoani Pwani. Ilikuwa inaelekea Dar. Ni ile Treni mpya (Deluxe)

=========

Treni ya abiria ya Delux iliyokuwa ikitoka Kigoma kwenda Dar es Salaam imeanguka eneo la Ruvu mkoani Pwani.

Msemaji wa TRL, Medladjy Maez amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo aliyosema hali ni mbaya iliyotokea saa 9:40 alasiri.

Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Boneventura Mushongi amesema ni kweli ajali na mabehewa manane yameanguka na watu watano wamejeruhiwa.
IMG_2765.JPG

IMG_2766.JPG

1485696947474.jpg
1485696955645.jpg
1485696961811.jpg
1485696977501.jpg
 
Back
Top Bottom