Recent content by JoyMfupa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sababu za wakazi wote wa Tanga kupiga kura za ndio kwa Magufuli

    mimi nipo tanga handen si magufuli wala kigoda hakuna kura yangu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa haja kubwa kwa watoto wadogo na Vichanga. Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu

    miezi 6 mtoto bila kunywa hata maji!? not applicable kwa Tanzania hasa maeneo yenye joto, kwangu mimi wakati namlea mwanangu nilishindwa kufuata formula hzo kwenye vitabu vya madaktari
  3. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo kilindi tanga idara sekondari
  4. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo Kilindi tanga nije mkoa wa pwani popote idara sekondari
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kanizalisha, ananibana kufanya mambo yangu na hana mpango wa kunioa, Nifanyaje?

    Mimi ni single mother nalea mwanangu vizuri tu babake kazi yake kujisifu ana mtoto wa kiume,tena ana download picha nnazoziweka kwenye social networks Maziwa nanunua 2000 Lita * 1lita na nusu=3000 per day Bado lishe bado nguo n bado hajaugua bado mahitaji mengine ya ziada Am proudly...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kinabo wa CHADEMA tishio Kibaha Vijijini, arudisha rasmi ya fomu ya ubunge leo!

    koka wa kibaha mjini Mkuu,kibaha vijijini Luna jamaa anaitwa Abuu Juma sijui huwa ananyoa vipara
  7. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo kilindi tanga nije kibaha vijijini
  8. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    vipi huwezi kuja wilaya ya Kilindi? previously ilikua sehemu ya wilaya ya handen. pia kuna umeme maji kasoro barabara bado ni vumbi
  9. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nipo KILINDI -TANGA idara ya elimu sekondari,natafuta MTU wa kubadilishana nae kituo kutoka KIBAHA VIJIJINI,nitumie email joyceMfupa@gmail.com kama UK interested
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mgeni kaja kujifunza

    nategemea mengi kutoka kwa wana Jamii f.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mgeni kaja kujifunza

    hodii wenyeji natumaini kupata mapokezi rafiki
Back
Top Bottom