Recent content by Joyce wowowo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba, Mama Lulu kimenuka

    Huyu mama nae anakoelekea mmmh haya waungane na mama komba na mama secky waunde kikundi chao
  2. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Mpenzi mwingine wa lulu Michael anaswa na "UNGA" Nigeria

    Ni mpenzi au rafiki mbona haiko clear
  3. J

    JamiiForums Tanzania The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

    Mkitaka vita muwe tayari kupigana pia,loading failed
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke

    Mmmmhhhh
  5. J

    JamiiForums Tanzania Familia bora

    Ntayaishi kwenye ndoto tu mie
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ufanyaji wa mapenzi umekuwa ni tabu sana sahivi

    Hapo ndo tabu ilipo mida hiyo ni saa sita usiku ndo tumeamka kuviziana kujibeba hadi sebuleni napo mtihani
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ufanyaji wa mapenzi umekuwa ni tabu sana sahivi

    Nashindwa kumuacha mwanangu akalale peke yake chumba kingine he is just 3years old namuona ni mdogo kumlaza peke yake.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ufanyaji wa mapenzi umekuwa ni tabu sana sahivi

    Hapana namaanisha usiku wakati wa kulala na tunalala na mtoto wetu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ufanyaji wa mapenzi umekuwa ni tabu sana sahivi

    Huyu first born wangu nilimpata nikiwa bado nasoma, nilikaa nae kwa muda mfupi tu kisha nikampeleka kwa bibi yake ili niweze kuendelea na masomo. Alhamdulillah nimemaliza masomo yangu nimeamua kumchukua mwanangu kwani nimeshakuwa na uwezo wa kukaa nae. Ishu inakuja sasa nnapotaka kucheza kidali...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimekuja na mengi sana ila leo salam tu,Hodi humu.

    imekukumbusha kipindi joyce wowowo anapita mtaa kwa mtaa?hehehehe
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nimekuja na mengi sana ila leo salam tu,Hodi humu.

    Ahsante katavi
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nimekuja na mengi sana ila leo salam tu,Hodi humu.

    Hodi humu ndani mi mzima wa afya sijui nyie wenzangu Joyce wowowo naongea!!!
Back
Top Bottom