Recent content by Jovith Novath

  1. Jovith Novath

    Nina laki 2 na line ya wakala M-PESA, Nikianza kufanya miamala itanilipa?

    Kupata commission ndogo au kubwa kunategemea mzunguko wako, jinsi watu wanavyotoa na kuweka ndivyo unavyozidi kuongeza commission, kama utakuwa kwenye mzunguko Mkubwa Laki mbili ni ndogo sana au ukubali kupata commission ndogo mwisho wa mwezi! Kumbuka kuwa mtu akija kutoa hela nyingi ndivyo...
  2. Jovith Novath

    Nimefikia lengo njia zipi hutumika kufunga kizazi kwa nwanaume na zina madhara gani?

    Nafikiri bado hujaizoea lakini ukishazoea itakuwa bora sana kwako! Achana na njia nyingine ambazo hutokeza madhara baada ya muda. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Jovith Novath

    Nimefikia lengo njia zipi hutumika kufunga kizazi kwa nwanaume na zina madhara gani?

    Mkuu njia nzuri na isiyokuwa na madhara ni kumwaga nje wakati wa tendo la ndoa! Hii njia ni nzuri sana ingawa ni ngumu kidogo kuitumia na inahitaji ushirikiano wako na mkeo/mpenzi wako Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Jovith Novath

    Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Maeneo ya jirani yetu watoto wamejeruiwa na nyumba zimebomolewa
  5. Jovith Novath

    Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Mm Niko bukoba vijijini, lakin tetemeko uku lilikuwa kubwa na baadhi ya nyumba zimebomoka
  6. Jovith Novath

    Nilifanya nae mapenzi kinyume na maumbile, je anafaa kuoa?

    Mungu akusamehe bure! Nenda ukatubu mbele zake Mungu, pia fuata taratibu zote za kuoa ukamuoe
  7. Jovith Novath

    Msaada wa haraka unahitajika kuhusu HESLB

    Unatakiwa kupunguza sana ukubwa wa Picha iwe ndogo sana, pixel150 x 120 maximum 1 mb
Back
Top Bottom