Ni hivi karibuni kulikuwa na makubaliano ya mpango wa kupitisha SARAFU ya MUUNGANO wa nchi 5 zenye UCHUMI mkubwa ktk G-20, KUBUNI SARAFU ili kuto tegemea SARAFU ya marekani( dollar)
*Je wataweza kupambana na vikwazo kutoka kwa marekani?.
* itakuwaje Kama mpango ukifanikiwa Kuna faida yyte...
Niwasalim kwa jina la (J.M.T) ktk umoja huu wa E.A.C Kuna hoja nyingi za KIMUUNGANO mfano:
DHIMA YA KUUNGANISHA NCHI WANACHAMA UHURU WA KIBIASHARA ISIYO NA MIPAKA.
* Tumeona nchi WANACHAMA Wana zuia bidhaa nchi moja kwenda nyingine sababu wanazotoa Ni Kama mpaka uwe na kibali maalum
* Mfano...
Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira.
% kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu
Hoja ya msingi serikali ungekuja na mpango kupunguza muda wa kuajiriwa ikawa miaka 10, Kama ilivyo...
Ukewenza ni sababu ya kuleta ushindani katika maendeleo ya familia, ushindani katika upendo kwa mume, na kutunza watoto
Umoja, ushirikiano katika shida na raha, kujaliana na ku uguzana.
Kama unakubaliana na hili ongezea sabubu zako, Kama unapinga hili toa sababu zako.✍️
Familia
Familia nisawa na taasisi ambayo inamifumo ya mapato matumizi akiba mipango malengo, I.e,
Familia misingi yake ni mahitaji endelevu pasipo sababu yyte ya ugonjwa au loos ktk kipato,
* Ninamaanisha niheri mume atoe matumizi kulingana na kipato, mahitaji yaliyo ktk badget
*Matumizi ya...
Biblilia na kumbukimbu zinaeleza kifo utenganifu wa roho na mwili, fikilia kawaida roho nikama flash Ina detail zote, na kwa mujibu wa vitabu Kuna ulimwengu wa roho , ngoja Nile Kwanza nakuja kuendelea. Karibu
Zamani, ktk kumbukimbu za historia walikuw Wana andikwa tu uzawa wa kiume hivyo inasadikika Adam alizaa Wana wakike ambao wali kuja kuoana na kaka zao wakaendeleza uzao chini ya just🙏🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.