Recent content by jovetha

  1. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    Kibaya zaidi ni kuwa na watoto wa baba tofauti
  2. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    Ahsanteni wote kwa mawazo yenu,Mbarikiwe Sanaa,Kuna mtu amejitokeza kunipa MSAADA wa kisheria.Mbarikiwe sanaa
  3. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    Yaa ni mashamba ya ukoo wao.
  4. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    Ubarikiwe Mkuu
  5. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    Ahsante Mkuu nitafanya hivyo nitakuja humu kuwapa mrejesho
  6. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    Ahsante Mkuu!!!
  7. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    So sad, he was the perfect man ever but suddenly Kila kitu kikabadilika
  8. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    Hahahaha anaye ni Mzee asiyependa maugomvi at least ni mtu pia amabaye Huwa ananijulia hali mara kwa mara lakini pia kwasabu Ile ni familia yake sidhani kama anaweza kuwa upande wangu.
  9. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    Sidhani kama ni mshirikina ni mtu wa kanisani sana likini pia uwezo wake ni wakawaida tu tu kwasabu ni msataafu ila anayelipa legal feee ni mme wangu
  10. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    Kesi ya Talaka ilikuwa Temeke as for now Kuna Mahakama inayoshukulikia maswala ya Talaka na mirathi ni separate ni hizi mahakama nyingine
  11. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    Nina degree. Nipo Dar es Salaam, Wilaya ya Ubungo
  12. jovetha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

    Naombeni msaada wa mawazo maana nahisi nitakufa kwa mawazo ila ninajikaza. Mimi ni mama wa miaka 30 Nina mtoto mmoja, nina ndoa ya kimila. Nampenda sana mme wangu lakini tumekuwa hatuna maelewano mazuri mimi na yeye kwa sababu ni mtu wakusikiliza ndugu na pia ni mtu ambaye anaona mawazo ya ndugu...
  13. jovetha

    JamiiForums Tanzania Burial benefits

    [emoji56]
  14. jovetha

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Plz check 0653321915 nataka kujua zaidi kuhusu jinsi ya kuoder mzigo na hizo process za ushuru
  15. jovetha

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nywele original kwa bei nafuu

    [emoji41]
Back
Top Bottom