Burial benefits

jovetha

Member
Apr 16, 2016
28
45
Habari za asubuhi wapendwa.Husika na kichwa cha habari hapo juu.Naomba kuuliza burial benefit za mfanyakzi pale anapofiwa na wazazi wake(biological father).He kuna sheria kuhusiana na ilo?? Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jagarld

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
2,002
2,000
Kwa mzazi inategemea na mwajiri wako atakavyo amua, taratibu zinamwelekeza kutoa ruhusa tu kwa mtumishi aliyefiwa na mzazi wake lakini kwa mwenza, mtoto au mtumishi mwenyewe mwajiri anawajibika kutoa gharama za jeneza, usafiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom