Habari za siku wana jamii?
Mmi nimesoma digrii ya sayansi ya kompyuta nina uwezo wa kufundisha physics na mathematics nataka niingie serikalini. Naomba msaada wenu jinsi ya kujiunga na shule za serikali.
Habari wanajamii
Naomba kuuliza kuhusu utaratibu wa jinsi ya kuanzisha chuo cha ualimu wa chekechea.
Vitu gani vinavyohusika katika uanzishaji n.k
Vyuo hivi huwa chini ya taasisi gani (VETA, NACTE, NECTA n.k)
Natanguliza shukrani.
Habari za muda huu wanajamii.
Namshukuru Mungu kwa kunitia nguvu,akili na afya. Nimebahatika kununua shamba katika mkoa wa Morogoro. Nataka kuanza kilimo cha matikiti maji. Wanajamii naomba kama kuna mtu anafahamu vizuri juu ya kilimo cha matikiti maji.
Naomba kujulishwa juu ya:
a) Msimu wa...
Habari wapendwa.
Mimi ni Mtanzania ambaye nimebahatika kumaliza elimu ya Sayansi ya Kompyuta (BS CS) katika chuo kikuu kimoja hapa Tanzania.
Mimi siyo mwalimu kwa taaluma (professional) ila nimekuwa katika tasnia ya elimu kwa zaidi ya miaka mitano nikifundisha masomo ya Physics na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.