Recent content by Jotta

  1. Jotta

    TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Well said comrade. Ndio maana tunahitaji katiba mpya yenye clear-cut explanations haswa kwenye mambo nyeti kama haya
  2. Jotta

    It is called ‘subterfuge’

    Yesterday u sounded like a prophet or something. Kaenda Mlimani City kweli bwana[emoji23]
  3. Jotta

    GE2020 Dkt. Magufuli atinga Kagera, Mama Tibaijuka asema watampa kura za heshima na kusisitiza wao ni 'Natural Allies'. Magufuli amuahidi cheo

    Tunamsubiri Bukoba Mjini tumpige spana na sijui atajikomba komba nini kwa yale aliyotufanyia 2016 baada ya tetemeko
  4. Jotta

    What the hell was that for?

    Are we talking about grandstanding or the impacts following that what you call "grandstanding "
  5. Jotta

    What the hell was that for?

    One thing I've come to realize huyu Nyani hajibu facts kwenye hii thread. Anakimbilia tu kujibu petty issues. That too low from you Ngabu. Too low
  6. Jotta

    What the hell was that for?

    What Lissu did is no thing for small brains to comprehend
  7. Jotta

    What the hell was that for?

    This is so low from you, Nyani.
  8. Jotta

    Wazazi Wenzangu: Kuna umuhimu (faida) gani kwa baadhi ya watoto kuwa na majina mawili? Jina la shuleni pamoja na lile la nyumbani?

    Hii system ipo sana Uhayani kama alivyocomment chief hapo juu. Unakuwa na jina la nyumbani la Kihaya halafu baadae ukibatizwa unakuwa na jina la kizungu. At last, la kubatizwa ndo linakuwa first name, la kilugha la kati halafu la baba linakuwa la mwisho. Mfano Gabriel Rugarabamu Pastory au...
  9. Jotta

    Eddo Kumwembe, achana na siasa ndugu, itakugharimu!

    Sasa hizi plain claims bila ushahidi unatuletea humu? Hebu leta uzi wenye credible sources na evidence. Otherwise nitashawishika kuamini kwamba wanaJF mazwazwa wameongezeka Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Jotta

    Tumwamini nani kati ya Rais Magufuli au Daktari Ndugulile kuhusu kujifukiza ili kukabiliana na COVID-19?

    Halafu Ndugulile alikataa ishu ya kujifukuza kabla hata mkulu hajaisuggest. Kuna controversy kidogo hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Jotta

    Dr Mashinji ambaye ni Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA amkabidhi ofisi Katibu Mkuu mpya John Mnyika

    Wao mbona hawavai makanzu wakati wa kukabidhiana ofisi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom