Recent content by Jossiah kisanga

  1. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamasika: UKAWA sawa na muunganiko wa Walevi

    chanzo......UHURU. mi nimepita tu akili kichwani huhitaji kwenda shule . .
  2. J

    JamiiForums Tanzania Chatanda: Tundu Lissu lazima ang'oke!

    kama alimshindwa lema atamweza lisu?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kutoka makao makuu ya ACT-Tanzania

    sasa mbona mnawapinga wenzenu kwenye katiba au mnasoma upepo wa wananchi. hongera ccm b.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kutoka makao makuu ya ACT-Tanzania

    sasa mbona mnawapings
  5. J

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanachama wengi wa CHADEMA ni watu waliokata tamaa ya maisha

    sasa mbona unatoa comment na kujijibu mwenyewe unataka kuniambia kufeli watoto ni matokeo ya cdm? huku watoto wenu nyie ambao hamjachoka wako ulaya masomoni. vitu vingine muwe mnafiliria kwanza kabla ya kuleta jamvini. watu wote c wajinga km mnavyodhani. sera nzuri ndio zinabadili maisha ya watu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA wavurugana kugombea majimbo

    vp mkuu huna kazi za kufanya?
  7. J

    JamiiForums Tanzania CAG: Vitabu vya mahesabu vya CHADEMA vina tofauti na kasoro

    tunataka na za waheshimiwa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atunukiwa u-profesa na Rais wa China

    Hiyo kaaali sana u dr. Wenyewe una mashaka. Hingera prof. Kikwete
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

    kwan kesi ngap mmefungua na hakuna ht moja mmeshinda mtu hawezi kukurupuka na kuongea kitu bila ushahidi. ok. tusubiri
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania imetoa vyeti vya uraia kwa wakimbizi wa Burundi zaidi ya laki moja

    wanatafuta nyongeza ya wapiga kura maana huko tabora sitta kachafua watu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Mheshimiwa Halima Mdee

    hii nchi imechoka kuanzia viongozi hadi wananchi. utakuta mtu anatetea upuuzi km huu utadhani yeye haimhusu hata ndg yake tu yanaweza kumkuta. ingekuwa nchi zenye kufuata sheria wangefuatilia lakini kwa vile ni mpinzani... tupa kule.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Chagueni kijana kunirithi

    au anamtaka kigwangala nini. kha hapo ni kazi au anamwogpa slaa kwa jinsi alivyomburuza.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Aibu nyingine kwa CHADEMA

    ohhh. kumbe mtela. haya bwana mi napita tu.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Saini ya kutokuwa na imani na rais zaitajika, Ben Saanane aratibu upatikanaji wake

    vp ndg yangu na wewe umepewa mgao? maana nashangaa unafurahia jinsi nchi yako inavyomegwa kisera then ww unapiga makofi.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Butiku: Mwisho wa CCM miaka 10

    leo kinana kasema ccm wanachukiwa sababu ya rushwa. kasahau ufisadi nk.
Back
Top Bottom