Recent content by Josorobert

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

    Zitto anajua anachofanya, tatizo chadema ni wadandiaji wa hoja, hawana uwezo wa kuibua wao kama wao.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

    Ukawa ilikuwa ni lazima wampigie magoti
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

    Zitto elimu yake sio ya kuungaunga
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Ni Magufuli kwa kasi zaidi
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye John Stanley,Aibuka Kidedea Urais wa Tahliso

    Harakati zako tunazipata, utaleta mabadiliko makubwa kwa shirikisho.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye John Stanley,Aibuka Kidedea Urais wa Tahliso

    Hongera sana mpambanaji
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Hatimaye maelfu ya wananchi wamezidi kupaza sauti wakimtaka Rais Magufuli kubadili katiba na kuweza kuongoza vipindi vingi zaidi kutokana na kasi yake ambayo imekuwa chachu ya matumaini na mabadiliko nchini.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

    Mada haihusiani na ulichoandika hapo.Wakuu wako wakubaliana na Uongozi wa Rais wewe unabakia kutoa mapovu.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

    Kuwa mzalendo kufuatilia TV, leo Malim Self mwenyewe alikuwa Ikulu na Rais Magufuli
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

    Viongozi wa CUF wametanguliza utaifa mbele na kuachana na siasa uchwara.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Kweli Arusha wafanya mabadiliko.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Kapigwa chini, duuu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Lema yupo taabani
  14. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    CCM mpka sasa wazidi kupeta kwa kishindo
  15. J

    JamiiForums Tanzania Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

    Mtei amteuwa Sumaye duuuu
Back
Top Bottom