Recent content by Joshua robin

  1. Joshua robin

    Arusha natafuta kazi, Bachelor in Computer Science

    Habari, Ninatafuta kikamilifu nafasi za kazi au mafunzo. Nina Shahada ya Kwanza katika Sayansi ya Kompyuta. Asante.
  2. Joshua robin

    Computer Science Graduate with Expertise in Web & Mobile Development, System Administration, and Network Management Seeking Opportunities

    I possess a Computer Science degree and am actively pursuing employment or internship opportunities in any organization. My experience includes web and mobile development, system administration, network and database management.
  3. Joshua robin

    Flutter: Mfumo wa Malipo

    Thanks chief, ngoja nifatilie
  4. Joshua robin

    Flutter: Mfumo wa Malipo

    Ngoja nikaitafute niipitie hiyo
  5. Joshua robin

    Flutter: Mfumo wa Malipo

    Habari zenu wana-technologia!, Nahitaji kuIntergrate Mobile Application yangu na Mfumo wa malipo, ikiwa namaanisha mteja aweze kulipia kwa mfumo wa USSD. Naomba msaada nifanye nini? Natumia framework ya Flutter kudevelop
  6. Joshua robin

    msaada ngugu zangu wa Sony Ericsson Xpreria x110 min pro

    sim yangu niki play youtube au nikifungua app ya youtube inaniandikia "there is no network right now, please try again later "hivo ndivo inavo andika na nimejaribu kila namna nimeshindwa wakati Internet ipo vizuri na ninafungua kila kitu kasoro kuplay video tu na mwanzo ilikua haisumbui...
  7. Joshua robin

    Education is the most powerful,,,,,,,,,

    I remember One of Mandela's words, he said that "Education is the most powerful weapon which you can use to change the world"
  8. Joshua robin

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    wewe ujielewi!!! ndo unaongea hayo:lying:
  9. Joshua robin

    Wi-fi samsung gt-c6712

    Habari zenu wakuu!!!!!! naomba msaad, simu yang niki share INTERNET toka kwenye laptop(window 7) inasoma lakin kila nikifungua internet kwenye simu, ina andika DNS FAILED, kwana tatizo ni nini? au nitumie njia ipi?
  10. Joshua robin

    super computer

    kwenye home work yangu nimeulizwa nitaje mifano ya super computer, kama unaweza tafadhali nisaidie
  11. Joshua robin

    Nauliza jamani {nokia6300}

    Nimenunua kwa mtu, mkuu yeye alisha zisahau
  12. Joshua robin

    Naitaji mawazo yako/ushauri wako, {nokia6300}

    Samahanini wakuu kma ipo njia ya kunisaidi nitashukuru san. Nimesahau pin code za simu yangu, kwan nime jaribu kuweka 1 hadi 5 ila inagoma
Back
Top Bottom