msaada ngugu zangu wa Sony Ericsson Xpreria x110 min pro

msaada ngugu zangu wa Sony Ericsson Xpreria x110 min pro

Joshua robin

Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
36
Reaction score
6
sim yangu niki play youtube au nikifungua app ya youtube inaniandikia "there is no network right now, please try again later "hivo ndivo inavo andika na nimejaribu kila namna nimeshindwa wakati Internet ipo vizuri na ninafungua kila kitu kasoro kuplay video tu na mwanzo ilikua haisumbui,, nawaombeni nisaidie kadri ya uwezo wenu. natanguliza shukrani
sony ericsson xperia x10 min pro download.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom