Recent content by Joshua justine

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kusherehekea kupo palepale ilimuradi ujue kwa hakika bila kubahatisha sababu za wewe kufanya hivyo

    Kumekiwa na hili wimbi la watu fulani kufurahia wale mahasimu wao wanapopatikana na matatizo na kuzionyesha hisia zao mitandaoni ; jambo hili sio geni kabisa , nna hakika wote tuna maadui zetu ama hata wale ambao hatukudhani kuwa ni maadui kwa nyakati tofauti walishatuonesha kutudhihaki...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM taa nyekundu na muda unawatupa mkono mtoseni Yoha baharini mpone tufani

    Kwahiyo mulimtosa, ama lile " Joka likatalo" liliwasaidia freemason kumkatilia mbali, Maana hizo pesa wanazowapa wasanii wenu maarufu wafanikiwe haraka haraka si ni kodi zetu wanazoiba freemason waliopo serikalini , kamwe hawafuji mapesa ya miradi yao binafsi, sasa yeye alitaka awapige pin...
  3. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2096483/
  4. J

    JamiiForums Tanzania Zitto haogopi wakubwa....yaani mbele yao anatukana hivyo !

    Sisi tumeshaagiza popcorn, wala hatuna shida ....wacha picha linoge ,
  5. J

    JamiiForums Tanzania Zitto haogopi wakubwa....yaani mbele yao anatukana hivyo !

    Hili movie wakuu mnaliendeleza hamuogopi [emoji2], ina maana timu yao ianze kutafuta goli la pili sio, ama timu yenu inajiandaa kuwatandika jingine juu kwa juu,
  6. J

    JamiiForums Tanzania Zitto haogopi wakubwa....yaani mbele yao anatukana hivyo !

    Ee bwana eeh..! Hapo napo kuna maneno,
  7. J

    JamiiForums Tanzania Zitto haogopi wakubwa....yaani mbele yao anatukana hivyo !

    Labda..,
  8. J

    JamiiForums Tanzania Zitto haogopi wakubwa....yaani mbele yao anatukana hivyo !

  9. J

    JamiiForums Tanzania Kenya kama kwetu, Maandamano halali na haramu sambamba leo

    Ruto atayameza maneno yake leo, washauri wake wamemdanganya kakaa pabaya sana kisiasa,
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Hapo huyu jamaa anamaanisha nn , mm nimemuelewa kwa namna fulani kuhusu yaliyompata mwendazake ila wana forum wenye kuuelewa zaidi huu mstari tunaomba muudadavue zaidi tafadhali maana ni mstari wenye tafasiri zaidi ya moja , hapo kaonyesha ukomavu wa fasihi kwa kuiachia hadhira ijiamulie kuelewa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha ni hatari kwa usalama wa Taifa, serikali ichukue tahadhari

    Aiseee, ni hatari kabisa,
  12. J

    JamiiForums Tanzania Uzao wa Nephillim na utawala wa Illuminati

    We ni illiterate namba moja kabisa, yaani wakati veterans wa vita vya iraq na afghanistan sasa hivi wanaungana huko marekani wanaita press wanaongea ukweli na kuzitupa medani walizotunikiwa bado we lofa hapa Tanzania unapinga tu, Wakati wazazi wanaungana na kuandamana wanaongea mambo yote...
Back
Top Bottom