Recent content by JoshJ

  1. JoshJ

    JamiiForums Tanzania Urasimu mpya unaletwa kupitia kauli ya uli 'Mfumo Unasumbua'

    Nilimpereka mgonjwa Hosptalini alikua anatumia Bima MFUMO ULISUMBUA masaa mawili tunasubiria mfumo ukae sawa mpaka tukaamua kutumia cash
  2. JoshJ

    JamiiForums Tanzania Faida kugeuza gari yangu binafsi kuwa UBER

    Wakiwa wanatafuta kazi ivyo wanakuwa wastaarabu ukishawapa tu hiyo gari wanajiona mabosi, hiyo biashara itakupa presha bure kama hauendeshi wewe bora usithubutu
  3. JoshJ

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Samsung Galaxy Grand Prime G530H Unlocked Cell Phone Quad core Dual Sim 5.0 Inch Screen Android Phone Refurbished-in Mobile Phones from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group Total cost yake ni kiasi gani na inachukua siku ngapi kufika kwangu
  4. JoshJ

    JamiiForums Tanzania Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    Pole sana mkuu na mimi nilikua na tatizo kama lako tangu nikiwa mdogo nilikua natokwa na damu puani muda wowote hata usiku nikiwa usingizini, nakumbuka kipindi niko kwenye mtihani mathematics Necta form four nilitokwa damu ikanibidi nikakae nje kwa dakika 30 ndio nikaendelea. Ila saizi nimeturn...
  5. JoshJ

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    DBISLWRRarlap rrllllllRTT$ ,TNAtrzrzr4s_p
Back
Top Bottom