Chezea mikonga ya ma black...kanye atakuwa anampa lile lenyewe mpk kuzaa nae...ila kim hatabiriki utashangaa anakuwa na kanye miez2 thn anamtema kaa kohozii la juzi
Hiyo sheria siku hizi imebadlikika from around 2003 kuanzia England na kwa nchi zinazo apply England laws as well.a person can be tried on he same offence kama ikiwa proved that in the previous trial kulikuwa na any kinds of fabrication.au kama kuna new evidences brought forward in the cases...
Ishu sio kuwa mkewe hayupo ndo imebd afanye
Swali ni je wababa wa kitanzania mnawezaa?
Kwa upande wangu nahic wapo.baba yangu ni mmja kat yao...in any case i blv wapo lkn huwez kuwatambua na huwa hawajionyesh wala kusema kuwa wanaweza fanya such a thing
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.