Recent content by josephmatago

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Hawa ni hovyo kama pengo
  2. J

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Rais wakati wa kumsindikiza PM wa Ethiopia ni "aibu" kiitifaki, wahusika msaidieni

    Uwezo wake ni mdogo kwa nafasi aliyopewa ni kubwa mno kwke
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    Ww hovyooo
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    Ww hovyo kwl ultaka asaieje? Alishaur akambiwa ndyoooo sasa acha tukome na magu wenu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    Hv ninyi wtu wa ccm ubongo wenu umekufa? Hawa akina Lissu wamepiga kelele saana kuhusu mikataba mibovu hawakusilizwa tena mkawapga na kuwatoa nje sasa ulitaka wafanye nn? Kaz ya wabunge wa ccm ni Ndyoooo huyo Magu mwnywe hajui lolote yy anajua nguvu tu hakuna uelewa si bora mngempa mh Kinana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Nape amevuna alichopanda tangu mwnzo Napenda alitetea uovu au dhuruma wakafunga gori la mkono sasa uovu umemrudia Pole Mr Nape siku zote smama ktk haki na kweli
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais wetu amelewa madaraka, amesahau kuwa yeye ni Rais wa Watanzania

    Hyu hajui lolote khsu nsfas ya urais anachojua anamadaraka bas hyu mtu ni wa ajaabu hv ccm nn kiliwasbu mpka wakamuamini kumpa nchi wakaacha watu wenye hekima na busara kibao Hakika watanzania tumeliwa hakuna bongo hapa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wote wameogopa kuongea na Rais kwa Lugha ya mtaani. Mimi, Rais nivumilie...

    Hyu ni mzigo usiobebeka mi nadhani wabunge waache njaa zao watuondolee hyu mkulu hatufai zaidi ya kugawa Taifa
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Tundu Lissu ni ushahidi kuwa watanzania wengi hawana elimu ya kutosha

    Limetimia akina mwkwembe wajinyonge. Sku zote tunawaambia wanannchi maamuzi yao wanaporwa hawatuelewi hata pangewekwa tume ya KIVUITU maamuzi ya mawakili wasomi wangeporwa Africa ni laana tupu hatuamini katka kweli na haki ni Mabavu kama wanyama wa mwitu Kuzaliwa Africa ni mkosi watu hawana hofu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Umeongea vema ila hawa ccm ni kansa ya nchi
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Mwenyekiti CCM Iringa ni kuzima jenereta wakati wa kampeni Magufuli akiwa jukwaani

    Kumbe hata Mwl Julius Kambarage angefukuzwa ccm kama Magu ndo angekuwa Rais mwaka ule Nyrr alimpinga mgombea ubunge wa ccm wa musoma vjjni
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa "Tunaimani na Lowassa" bado Unamtesa Mwenyekiti.

    Kwa sasa ndo Lowassa ameongeza wafuasi kulko kpndi kilichopta hata mi nilikuwa mfuas wa dk Slaa lkn nimegundua hekima na busara za Lowassa na upendo kwa binadam nalazimika kumkubari hyo mh mbabe hata kwa bunduki staki kuona sura yke HOJA YA UFISADI HAINA MASHIKO KILA MTSNZANIA NI FISADI KWA...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanganyika Law Society(TLS) wapingwa mahakamani

    Nchi inawatu wa hovyo hata hizi shule wamesoma upumbavu tu najuta kuzaliwa tanzania
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ukatili huu uliofanywa na Polisi Simiyu kwa Watoto wa shule, ni aina nyingine ya "ukaburu mamboleo"

    Hv ninyi police huwa akili mnaziweka wpi kila kitu mnatumia ngvu Kwn hv vitoto si mngeviongoza vitoe dhamira zao kwa mamlaka huska? Kwnz ni aibu mzee mzma unakimbza katt ka form two Ndo maana tulizuia vboko vsivyo na staha shuln ss ninyi mnafanya ambayo nchi imekataa Hii kazi yenu nayo ni taabu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa UKAWA na upinzani, Lowassa hawezi kutuvusha

    Nakupuuza ww huwezi tuchsgulia mgombea kwnz El alishinda mengne ni ubabe tu hata tungeweka malaika ccm wangejitangazia ushindi iliyopo huko tuendako lzma tupambane wayakao pona wataheshim ukweli
Back
Top Bottom