Ikumbukwe kuna watumishi walio kua kazini tayari walio pata cheque namba nakuanza kupokea mshahara mwezi mei wamesitishiwa mshahara kupisha zoezi la uhakiki. ..... sasa nimeizi 4 inaenda mitano uhakiki bado. .... hawa watumishi walishapanga nyumba na kuhamia vituo vya kazi na familia zao. ...
Miezi inakatika na pango la nyumba niliyochukua limeshakwisha sasa... watuone huruma hata sisi tulioanzakupokea mshahara maana tulishapanga nyumba na kuhamia vituo vya kazi...
amestopisha mshahara toka mwezi wa 6 sababu ya uhakiki... hivi mweshimiwa unategemea mimi nitaishi vipi huku kituo changu cha kazi...sina ndugu na madeni yameshakuwa mengi sasa... bora ungekua mkweli tu zoezi litachukua muda zaidi hivyo turudisheni familia nyumbani... ona sasa ulituahidi miezi...
SERIKALI imewaondoa watumishi hewa 17,201 katika utumishi wa umma, ambapo licha ya kupokea mishahara pia mikopo mingi ilitolewa visivyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki alisema hayo jana mjini Dodoma wakati wa kuapishwa kwa...
Nivyema wangetangaza kabisa tu kama vijana ajira kwa sasa hakuna mpaka baada ya muda flani... Poleni kwa usumbufu, kuliko walivyoka kimya wakati muda waliojiwekea umeshapita.
NI BORA KUSEMA UKWELI KULIKO KUMSITISHIA MFANYAKAZI MSHAHARA WAKE KWA KISINGIZIO CHA WATUMISHI HEWA.... KAMA SERIKALI HAINA PESA ISEME UKWELI TU...HAINGI AKILINI MTU ULIYE MWAJILI MWEZI 4 NA AKAANZA KUPOKEA MSHAHARA MWEZI WA 5 UNAKUJA MSITISHIA MSHAHARA KWA KISINGIZIO CHA UHAKIKI WA WATUMISHI...
mkuu alisema hivi
"Serikali ninayoiongoza haina nia ya kuwakatisha tamaa wafanyakazi, lengo lake ni kujipanga kwa makosa tuliyoyafanya, na ndio maana nimesema kwa kipindi cha mwezi mmoja hivi au hata mwezi mmoja na nusu, haitazidi miezi miwili, tusiajiri mtumishi yeyote serikalini’...
Kiukweli seriKali inajenga chuki kwa wananchi tu... nimbaya sana kumtesa mtu asiyekuwa na hatia... wengine walikua na malengo ila mpaka sasa hakuna tena future.. ni bora mtu ungebaki zako private...umeangaika kuhama kwenda kituo cha kazi kwa gharama zako mwenyewe... mtu unahamisha watoto...
Ki ukweli inaumiza sanaa... imekua nikama njia ya serikali kuvunja moyo watumishi badala ya lengo kuu ambalo lilikua uhakiki wa wafanyakazi hewa... mipango na ndoto mtu ulizojiwekea zote zimevurugika na mwaka ndio huo unaelekea ukingoni.... Imani imeshapotea kwa mwendo huu
Mimi ni pia nimeathirika na hili zoezi la uhakiki kama wewe... kwa sasa nipo huu kituo cha kazi nikiwa sina mshahara kwa muda wa miezi mitatu sasa na akiba yangu imekwisha... nina mke na watoto wawili wananitegemea, inaumiza sana kuona ahadi alioitoa Rais kuwa zoezi halitozidi miezi miwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.