Recent content by Josephinejoseph664

  1. J

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa tajiri namba moja duniani bila kusoma shule

    Mbona umeenda mbali sana, achana na kua Mtanzania huwezi kua tajiri namba moja duniani kama ni muafrika
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu tumeshinda wote Kijiweni kapata kazi kwa wazungu hapokei tena simu zangu. Naomba mnishauri

    Ushauri ni kutafuta kazi, ukishindwa kutafuta kazi labda umloge. marafiki lazima wawe na hali sawa lasivyo kuna mmoja ataumia.
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Ananihudumia, nimeenda kuoa sijui nimwambiaje!

    Duh!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Maisha haya

    Mtu akiwa hana pesa akisema anakupenda ujue anakupenda kwasababu umemkubali na hali yake, siku akipata pesa ndio utaelewa.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuhakiki RITA una slow sana

    Mifumo ya kidigitali ya Tz watumiaji wakiwa wengi kwa wakati mmoja speed yake inapungua sana
  6. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule Tsh 65,000' licha ya Serikali kufuta ada

    Kilichoondolewa ni ada ila michngo mingine ilikuwepo kabla hata ada haijaondolewa. Kama hiyo michango mwanzo haikwepo na imekuja baada ya ada kuondolewa basi ni sahihi kwake kulalamika ila kama sivyo basi atulie tu.
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga yuko wapi?

    Usikute Ruto ameshafanya yake
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

    Kama mzee hataki kujiingiza kwenye hilo jambo huenda anafahamu sababu
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

    Mzee afanye hiyo kazi
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

    Tafuteni simu yake ikiwa imetolewa lock mtajua tatizo tu
Back
Top Bottom