Mimi sisemi kitu maana kama ni kazi za kuwakata wala nchi inashindikana sasa mnahamia kwenye magroup ya wasapu whatsapp naona kama mnakwepa majukumu yenu ya kukamata lichi mondi esiko na mengine mengi nyinyi mnakwenda wasapu kufanya nini?
Mimi binafsi napenda kuona kwamba kama kweli mnakuwa na ushahidi kwanini msiweke wazi?nakumbuka kunakipindi waheshimiwa wa nchi hii walikuwa wanatwambia kuwa wanamajina ya wauza madawa ya kulevya lakini cha ajabu hadi wanamaliza muda wao wa kuwatumikia wananchi walishindwa kabisaa kutaja hata...
Hatutaki watumishi walevi makazini mwao la sivo alewe atakavyo akiwa likizo sio kwenye kazi bwana hata wahudumu wa bar nao huwa wanaambiwa ukitaka kulewa subiri muda wa kazi ueshe la sivyo kazi huna na wanafuata sheria za kazi kwanini wao wanataka kuwa juu ya sheria? Jpm pongezi kwako usiwaogope...
Kiukweli wewe ndugu yangu Salary unaonekana unatazama mbali sana mimi wakati mwingine huwa nasema serikali yangu ni mbovu yaani huwa inakulupuka kabra ya kufanya tadhimini zaidi ya kujua kuwa baada ya haya nini kitafuata?sasa wao wanatoka usingizini na kulopoka2.kumbuka mwl.jk.alishawahi kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.