habari wanajf,
Business plan inasaidia kukuongoza katika kuendesha biashara yako na kuweka malengo yako kama ulivyopanga,
Ndugu kama unahitaji plan yako kuhakikiwa, tafadhari unaweza kuwasiliana na mimi kwa 0713659828
Karibu sana
habari.....
Hongereni sana kwa kuendelea kuelimishana kuhusu biashara na mambo mbalimbali ya kiuchumi!
Nashauri kuwa,biashara yako lazima iwe na malengo!
habari mwanajf: natumai harakati za biashara na michakato mbalimbali inaendelea vizuri!
Je,umeshapata wazo la biashara na unahitaji kuliweka katika maandishi? Basi haujachelewa sana kwani muda ndio huu! Anza kuandaa business plan yako sasa na kama kuna sehemu utakwama basi usisite kuniuliza ili...
unapotaka kuanzisha biashara, lazime ujue ni nani atakuwa mteja wako!
Hii itakusaidia kupanga mikakati itakayokuwezesha kuuza,kusambaza na jinsi wateja wako watavyokufikia. Pia hii itakupa uhakika wa uzalishaji kulingana na mahitaji ya wateja wako! Unapoandaa marketing strategy,basi huna budi...
Habari.....mkuu,bsn planning lazima ikupe bsn plan! Na sio kweli kabisa kuandaa bsn plan ni kupoteza muda! Ndio maana katika plan huwa tunafanya projections, naelewa sana time value of money principle! Kumbuka pia sifa ya objectives lazima ziwe SMART.Rejea na ukumbuke,kazi za cash flow, balance...
Business plan ni kitu kizuri kama jina linavoonesha......a plan...yani mpango au mpangilio wa biashara! Naomba niweke wazi hapa ndugu zangu....kuna bankable business plan ambayo ni kwa ajiri ya kuomba mkopo au plan kwa matumizi au mwongozo wako! Tunashauri ili biashara iwe endelevu ni lazima iwe...
Hilo ni wazo zuri sana ndugu yangu! Mtaji wa kwanza katika biashara huwa ni wazo la biashara,kikubwa ni kulitoa hilo wazo na kuliweka katika maandishi kisha katika mazingira halisi yaani unaanza kulifanyia kwa vitendo! Ukiwa na wazo zuri na ukaweza kuonyesha ni jinsi gani utaingiza na kutoa hela...
Habari......
Naomba nikukumbushe,...ujuzi hauna mpaka!kikubwa ni kuelewa matarajio yako na unahitaji nini kwa wakati gani. Hiyo miaka ni ya utu uzima na ni namba tu. Nakuomba ujifunze
Katika kuandaa business plan,hakikisha unajua gharama za uendeshaji na uwekezaji, pia tambua vyanzo vya mapato yako! Hakikisha mapato yanazidi gharama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.