Recent content by JOSEPHAT J BAZA

  1. J

    Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

    Ni kweli yuko vzr, PhD si kigezo kwani nyingine ni feki tu, anafaa hata kuhutubia UN namlinganisha na Dr.KIKWETE, Dr.MKAPA na kiboko yao Mwl. Nyerere.
  2. J

    Nini maana halisi ya neno " UCHOCHEZI' ?

    Wanaharakati, wasomi wa sheria na wanataaluma wa lugha ya kiswahili naomba mnisaidie maana sahihi ya neno "uchochezi". Nimeamua kuomba msaada huu wa tafsiri sahihi ya neno "uchochezi" ili niwe salama ninapotoa maoni na mtazamo wangu juu ya mambo mbalimbali katika jamii yetu. Kwa mujibu wa katiba...
  3. J

    UHAKIKI WA VYETI UWE KWA WATU WOTE

    Kwanza Mh. Rais kwa kuondoa watumishi wote waliobainika kughushi vyeti katika utumishi wa umma. Lakini ili zoezi hili liwe na maana zaidi ni vema lingewagusa watu wote kuanzia Ikulu, wabunge, mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wote. Nasema hivi kwa sababu kwa mujibu wa sheria...
  4. J

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania hakuna aliye juu ya sheria. Wakati Mh. Nape akiongea na waandishi wa habari alionekana askari mmoja akimnyonyea bastola. Tendo kama hili ni kosa kwa mujibu wa taratibu za kijeshi. Najaribu kujiuliza, kama Nape ambaye ni mjumbe wa NEC ya CCM, na pia ni mbunge...
  5. J

    Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Hivi karibuni mara baada ya Mh. Nape Nauye aliyekuwa waziri wa habari utamaduni na michezo kukerwa na kitendo kiovu alichofanya mkuu wa mkoa wa Dar e salaam Paul Makonda kuvamia kituo cha habari cha Clouds akiwa na polisi wenye siraha za moto, Mh. Rais kwa kushangaza umma wa watanzania amemfuta...
  6. J

    Bodi ya mikopo itatuua watumishi

    Hivi karibuni bodi ya mokopo ya elimu ya juu imepandisha makato kufikia 15% kuanzia mwezi huu wa Februari. Uamzi huu umetusikitisha sana sote tuliosoma kupitia bodi hii; licha ya ongezeko hilo kuwa nje na mkataba, bado bodi haikuzingatia kiwango cha mshahara anachoweka mkononi mfanyakazi baada...
  7. J

    Waziri Kairuki: Atakayeshindwa kuwasilisha Form IV index number kabla ya Machi 1 kajifukuzisha kazi

    Wanatupotezea muda tu, kila wakati tunapeleka vyeti, ina maana hawazioni hizo index number?
  8. J

    SECOND ROUND KWA CHUO MWENGE, RUAHA NA IRINGA WAPI?

    Presha iko juu nisaidieni, wapi second round ya ruaha, mwenge na iringa university?
  9. J

    CCM mnahofu nini mikutano ya kisiasa?

    Hivi karibuni mheshimiwa mkuu wa nchi amekataza mikutano ya vyama vya siasa hadi 2020. Sasa hebu tujiulize, katiba ambayo kwayo aliapa kuilinda inasemaje juu ya shughuli za vyama vya kisiasa? CCM wajitafakari wasiirudishe nchi ktk enzi za chama kushika hatamu!
  10. J

    Tanzania aibu tupu!

    Miaka ya hivi karibuni watanzania tumeshuhudia mauaji makubwa ya kikatili ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Hivi tujiulize, serikali imeshindwa kukomesha tatizo hili? Je, jeshi la polisi liko wapi? au kazi yake ni kuwapiga mabomu wanachama wa vyama vya upinzani tu?.Nakumbuka zipo hukumu za kifo...
  11. J

    Moyo kwenda mbio na kuuma ubavu wa kushoto

    Naomba msaada, tatizo langu ni moyo kwenda mbio na kushitukashituka ovyo. Pia nina maumivu makali ya kifua upande ule wa moyo; maumivu ambayo huandamana na mkono wa kushoto, nyayo za miguu kuwaka moto na mwili kukosa nguvu kabisa. Aidha nikitaka kufanya tendo la ndoa moyo huzidisha kasi...
  12. J

    Dr. Ndalichako usijiuzulu

    DR NDALICHAKO mimi binafsi nina imani kubwa na kazi unayoifanya kwani nimeshafanya mitihani mingi ya NECTA kama vile QT 1995, MTIHANI WA UALIMU DARAJA B na A 1996 na 2000, Mtihani wa Kidato cha nne 1998, mtihani wa kidato cha sita 2006 na mtihani wa diploma ya ualimu 2008. Kwa uzoefu huu kazi...
  13. J

    Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

    Kufuatia matokeo mabovu ya kidato cha nne na serikali ya CCM kuamua kuyachakachua kwa kuwapa maksi za bule waliofeli kwa malengo ya kujisafisha kiasiasa, Wakuu wa shule za kidato cha 5 na cha 6 wajiandae kupata wanafunzi mbumbumbu (vichwamaji). Umefika wakati serikali iache kuingiza siasa ktk...
  14. J

    Kuelekea matokeo ya form six, siri nzito yafichuka

    Watanzania, siku chache kuelekea matokeo ya kidato cha sita siri nzito imefichuka. Ziro kibao zafurika, Serikali Y CCM kwa mara nyingine yaanza mchakato wa kuzichakachua kimyakimya. Je, serikali hii inatupeleka wapi? ama kweli elimu ya TZ imegeuka kuwa genge la wanasiasa. Hakika CHADEMA NDIYO...
  15. J

    Kubadili matokeo IV 2012: Prof. Mukandala aivimbia serikali!

    Serikali inatapatapa, inafaa kufahahamu kuwa watanzania wa sasa si wajinga wa kudanganywa kwa chumvi, kofia na tisheti. Wasomi wote tunaipuuza kauli ya serikali kuilazimisha NECTA kuchakachua matokeo. kUFANYA HIVYO NI KUIZIKA ELIMU KATIKA CHUNGU CHEUSI. Prof. MUKANDALA UWE NGANGARI
Back
Top Bottom