Recent content by joseph62

  1. joseph62

    Nacte second round washapanga vyuo

    huyo kashapata asubir tu chuo kicorfim
  2. joseph62

    Kuna yeyote katumiwa joining instructions ya chuo alichopangiwa?

    ndiyo lkn chuo ndo kita kutafta sa chuo unakuta wapo bize sbb watu wanao hitaj kutaftwa ni weng,ni vyema zaid ukiwatafta ww
  3. joseph62

    Kuna yeyote katumiwa joining instructions ya chuo alichopangiwa?

    wapigie cm vyuo vyote ulivyojaza ukiulzia jina lako kama lipo ns utakipata
  4. joseph62

    CHUO CHA AFYA BESHA

    thanks sana
  5. joseph62

    CHUO CHA AFYA BESHA

    habar wadau wa jamii forum, kama kuna mtu yeyote kapangiwa chuo cha besha au amesomea hapo au anakifahamu tafadhali naomba anipe contact za hicho chuo
  6. joseph62

    Kuna yeyote katumiwa joining instructions ya chuo alichopangiwa?

    me ni mepata ila kwa njia tofaut na chuo nkakijua
  7. joseph62

    Kuna yeyote katumiwa joining instructions ya chuo alichopangiwa?

    me nimetumia njia mja had nkakijua chuo na joining nkapata,fanya hv vile vyuo ulivyo jaza tafta contact zao uwaulize ka jina lako lipo kmja baada ya kingne na iman utakipata
  8. joseph62

    NACTE wana mpango gani na sisi?

    npo nasubr second selection mungu akijalia ntaenda nkaze
  9. joseph62

    NACTE wana mpango gani na sisi?

    ila c kuchange ukiwa chuon unaruhusiwa
  10. joseph62

    NACTE wana mpango gani na sisi?

    je famasi na maabara ipi angalau sio ngumu sana
Back
Top Bottom