NACTE wana mpango gani na sisi?

NACTE wana mpango gani na sisi?

Mbona hata mimi ni 4m 4 mwaka jana but nashukuru nilichaguliwa round iliyo pita chuo but THT usikate tamaa madogo tupo wengi acheni izo mambo
Asante sana Mkuu, ubarikiwe sana
 
kwakweli binafsi naumia sana hawa NACTE walisema tarehe 31 mwezi wa nane watakuwa wametoa majibu sasa cha kushangaza mapka leo wapo kimya na wanajua vyuoni tunatakiwa kureport mwezi wa tisa. wangetoa mapema ili wazazi wetu wajipange maana hali ya uchumi kwa sasa ni ngumu.

na second selection ni ya vyuo vya private karo yake ni kubwa tena inawaumiza zaidi wazazi wetu hawa wasio na kipato cha uhakika. hata kuomba samahani kwa kuudanganya umati hakuna wapo kimyaa tuu. waziri wa elimu naye yupo kimyaa. mtoe majibu yetu mapema wengine tumeacha kwenda advance tunawasubiria nyie na muda hautusubiri, mwaka huu unaisha, mtoe majibu ili tukikosa tuangalie utaratibu mwingine. hatuna mpango wa kukaa mwaka mzima nyumbani. mtuhurumie.
mkuu kwani wapi walisema awamu ya pili ni kwa vyuo vya private?
 
mkuu kwani wapi walisema awamu ya pili ni kwa vyuo vya private?
asilimia kubwa ya vyuo vilivyowazi ni vya private kama uliapploy nadhani uliona kwenye data base
 
Ukiona malalamika yamekuwa mengi kuliko pongezi bas ujue kuna jambo mahala halijakaa sawa kwenye huu utawala,mie mwenyewe nina mdogo wangu anasubiria hayo majibu.ishu sio pesa,muda unaopotea una thamani kubwa zaidi
 
kozi ya clinical medicine ni ngumu sana ,tofauti na mnavyofikiria ila ukikaza buti kila kitu ni rahisi na sasa hv kuna mtihani wa wizara ya afya kutoka mwaka 1 kwenda mwaka wa 2 ukifeli unarudi home.
kama mkija uku mkomae,mimi ni mwaka wa kwanza nategemea kuingia mwaka wa pili naomba mungu matokeo yaje mazuri.
KAMA KUNA SWALI LOLOTE UNAWEZA KUNIULIZA
 
kwa aliyemaliza diploma ya clinical akienda degree inachukua miaka mingapi na ndo anakuwa medical doctor??
 
Hapa ni survival of the fittest kwa competition hii ya vyuo hatari
 
kwa aliyemaliza diploma ya clinical akienda degree inachukua miaka mingapi na ndo anakuwa medical doctor??
diploma ni miaka 3 tu ukimaliza diploma unaenda kwanza kazini kwa muda wa miaka 2 then kama ukipenda kusoma medical doctor unaomba ruhusa ya kwenda kusoma.
Medical doctor ni miaka 5 tu,
 
diploma ni miaka 3 tu ukimaliza diploma unaenda kwanza kazini kwa muda wa miaka 2 then kama ukipenda kusoma medical doctor unaomba ruhusa ya kwenda kusoma.
Medical doctor ni miaka 5 tu,
sawa nashukuru sana Mkuu
 
Back
Top Bottom